Hahahah hii kitu ilikuwa sio poa nliangalia na jamaa yangu, yeye ni of the smartest lakin ilibid tutulie wote turudie huku tunachambua tulidiscuss kama ka project flan,hatukuelewa vyote though[emoji28]
Hivi Fohadi mwanangu nakuambia naanza kutazama Tenet na hata hujanitonya muujiza nitakaokutana nao, nimetazama mpaka nimepata kizunguzungu maana sielewi, ikabidi nije huku kwenye kisima cha maarifa, nakuta tupo wengi..!!π