dudukila
Senior Member
- Jun 20, 2015
- 134
- 37
Habari zenu wakuu wa jamiiforums,
Samahani, mdada nilikutana nae maeneo ya Mbezi Louis nilimsimamisha na kusalimiana nae kisha nikachukua namba zake nikawa nawasiliana nae, alinikalibisha niende kwenye ofisi yake ambae anafanya kazi, ye ni mjasilimali anajihusisha na kuuza mayai kwa trays, ni rafiki yangu wa kawaida tu wala sijaonyesha interest za mapenzi bado, ila mara nyingi nikiwa nawasiliana nae alikuwa ananisisitiza sana kusali nikawa namwambia sawa nakuelewe, ila bado alikuwa ananisisitiza kila mara nilipokuwa nawasiliana nae, ilinibidi nimuulize kwann umekuwa ukinisisitiza hivyo mara kwa mara hata kama nakukubalia kuwa nafanya hvyo ndipo alipoamua kunambia kuwa TANGU AMEKUTANA NA MM AMEKUWA AKIOTA NDOTO ZA AJABU AJABU KUHUSU MM, mara nyingi anaotwa mara nimetekwa nateswa na watu, mara nimepata ajari, sasa nimelileta hili kwenu wataalam munipa idea kuhusu hzi ndogo ambazo zinamtokea huyu dada kwa upande wangu mm sijawah hata kumuotea ndoto ya aina yeyote ile.
Naombeni msaada wa mawazo wakoo kuhusu hili