Msaada kuhusu ndoto wakuu

Msaada kuhusu ndoto wakuu

dudukila

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
134
Reaction score
37
Habari zenu wakuu wa jamiiforums,
Samahani, mdada nilikutana nae maeneo ya Mbezi Louis nilimsimamisha na kusalimiana nae kisha nikachukua namba zake nikawa nawasiliana nae, alinikalibisha niende kwenye ofisi yake ambae anafanya kazi, ye ni mjasilimali anajihusisha na kuuza mayai kwa trays, ni rafiki yangu wa kawaida tu wala sijaonyesha interest za mapenzi bado, ila mara nyingi nikiwa nawasiliana nae alikuwa ananisisitiza sana kusali nikawa namwambia sawa nakuelewe, ila bado alikuwa ananisisitiza kila mara nilipokuwa nawasiliana nae, ilinibidi nimuulize kwann umekuwa ukinisisitiza hivyo mara kwa mara hata kama nakukubalia kuwa nafanya hvyo ndipo alipoamua kunambia kuwa TANGU AMEKUTANA NA MM AMEKUWA AKIOTA NDOTO ZA AJABU AJABU KUHUSU MM, mara nyingi anaotwa mara nimetekwa nateswa na watu, mara nimepata ajari, sasa nimelileta hili kwenu wataalam munipa idea kuhusu hzi ndogo ambazo zinamtokea huyu dada kwa upande wangu mm sijawah hata kumuotea ndoto ya aina yeyote ile.
Naombeni msaada wa mawazo wakoo kuhusu hili
 
Msaada jamani this is serious[emoji19][emoji19]
 
Hahahahaha we jamaa sema asante pia kwa ushauri sasa kukodoa kunahusiana nn na yeye kuota natekwa
 
Mhhhhhh kwa kwel kama ndoa ndio aote kuwa nimetekwa mzee[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️ tena jana kanambia kuna gari nyeusi vx ilikuja na wakanichukua njian[emoji30][emoji30][emoji30]
 
Ni kwel kabisa siwez tengeneza scenario ya hvyo ndio mana nimeileta humu
Basi unahitaj maombi sana.

Kutekwa Ina maana maisha yako shetani ameshayateka na hivyo anakuhenyesha ww pasi kujua. kupata mahali Ina maana kuna uharibifu utakao tokea ktk maisha yako. Hapa utaharibiwa sana mambo yako hasa kipato, kikaz, ndoa, watt kama unavyo nk

Tulia kwa Mungu rudi utafute rehema kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom