mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Ukitaka kukopa mtandaoni watafutw umoja loan au premier cash,ukiachana na branch.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja Wana ribs kubwa mno halafu muda wiki 1Ukitaka kukopa mtandaoni watafutw umoja loan au premier cash,ukiachana na branch.....
Hawatoiiii ni matapeli tu hao, hata hiyo namba ya simu ukipiga haipatikani.Ila wanatoa kweliiiii??
Ndugu, yamkini Hawa watu ni matapeli, hata Mimi nimelizwa Kama wewe, chakufanya tuangalie tu namna ya kufanya.Habari zenu ndugu zangu,
Ukweli siko poa kiakili.
Kutokana na hali ngumu kiuchumi nilijaribu kukatisha play store kutafuta app inayotoa mkopo online ndipo nikakutana na hawa jamaa wanaojiita Nikopeshe Microfinance.
Nikafuata taratibu zote nilipofika kwenye fomu ya kuomba mkopo nikaambiwa nilipe 4850 kwenye namba 0699890806 nikatuma then after few hours kweliiiii nikapewa fomu nikaijaza na kuirejesha.
Nikaambiwa nichague njia ya kupokea mkopo wangu nikajaza kila kitu nakuja kuhamaki naletewa tena fomu nyingine ya Kiapo pamoja na Wadhamini ambapo natakiwa nilipe 10250, nimelipa tangu asubuhi naona kimyaa.
Naomba kwa yeyote anaewajua hawa jamaa anitoe wasiwasi au anithibitishie kuwa nimetapeliwa nianze kulia.
View attachment 2347803View attachment 2347804View attachment 2347806View attachment 2347807