kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Shukran mkuuMara nyingi huwa ni ndani ya siku tatu.wakichelewa sana haizidi week
Hongera sana kwa kufikia hiyo hatua. Maana naelewa mtiti wa nssf ulivyo na usumbufu.
Ushawekewa tukanywe bia?Shukran mkuu
Bado mkuuUshawekewa tukanywe bia?
Well notedAnytime tegemea kupata message kutoka bank kuwa pesa imeingia.
Wanavyokuandikia approved, means imeidhinishwa malipo yafanyike,so hapo watu wa idara ya uhasibu ndiyo wako wanakuandalia cheque yako.
Weka kadi yako ya bank karibu kabisaBado mkuu
☝🏿Wakuu hivi na ukiwa umeapply michango yako ije kwenye mfumo ya michango ya hiari toka kwenye ile ya mwajiri na ikawa approved huwa inachukua muda gani michango kuhamishiwa kwenye mfumo ya michango ya hiari? Maana nikiangalia salio naona bado hawajaondoa malipo waliyonipa kwenye miezi 6 ya fao la kukosa ajira.
Samahani,hivi michango kuja kwenye HIARI inakupa Faida gani baadaye??maana sijaelewaWakuu hivi na ukiwa umeapply michango yako ije kwenye mfumo ya michango ya hiari toka kwenye ile ya mwajiri na ikawa approved huwa inachukua muda gani michango kuhamishiwa kwenye mfumo ya michango ya hiari? Maana nikiangalia salio naona bado hawajaondoa malipo waliyonipa kwenye miezi 6 ya fao la kukosa ajira.
Navyojua ikiwa kwenye hiari unauwezo wa kuchukua fedha zako bila kuwekewa habari ya asilimia 33.3Samahani,hivi michango kuja kwenye HIARI inakupa Faida gani baadaye??maana sijaelewa
mmhhh,sio rahisi hivyo ndugu,ingekuwa hivyo wote wangefanya hilo zoezi ili walipwe Pesa zao zote,hakuna anayependa kuacha Pesa yake NSSF huku akiteseka mtaani,hao jamaa(NSSF) ni wasumbufu utafikiri Pesa ni zao,wapuuzi sanaNavyojua ikiwa kwenye hiari unauwezo wa kuchukua fedha zako bila kuwekewa habari ya asilimia 33.3
Siku hizi wanainguza benki hakuna cha chequeAnytime tegemea kupata message kutoka bank kuwa pesa imeingia.
Wanavyokuandikia approved, means imeidhinishwa malipo yafanyike,so hapo watu wa idara ya uhasibu ndiyo wako wanakuandalia cheque yako.
fafanuaushapigwa kaka ,hio imeisha
Wapo vzuri japo wanakera tu kwa kutoa nusu ya mshahara mimi wameniingizia juz tu hapo 22Mtu kasubmit madai nssf tarehe 3 Oct jana kaingia nssf portal kakuta benefit claim status paid, akashangaa maana hela haijaingia kwenye bank akaunti yake[emoji1787][emoji86]
je ikiwa inasoma pending huwa ndani ya mda gani mkuuMara nyingi huwa ni ndani ya siku tatu.wakichelewa sana haizidi week
Hongera sana kwa kufikia hiyo hatua. Maana naelewa mtiti wa nssf ulivyo na usumbufu.