kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Habari
Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED.
Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?