A.MTALE
Member
- Aug 15, 2012
- 43
- 18
Nami nataka nijue hili. Ikiwa pending inakuaje?je ikiwa inasoma pending huwa ndani ya mda gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nataka nijue hili. Ikiwa pending inakuaje?je ikiwa inasoma pending huwa ndani ya mda gani mkuu
Pending means inafanyiwa kazi,yani faili linamove kutoka idara moja kwenda nyingine (internal procedures)Nami nataka nijue hili. Ikiwa pending inakuaje?
Na vipi ikiwa pending halafu Statement salio inasoma Zero, na Contributions inasoma No Contributions.Pending means inafanyiwa kazi,yani faili linamove kutoka idara moja kwenda nyingine (internal procedures)