Msaada kuhusu nywele za crotchet

Msaada kuhusu nywele za crotchet

Kama umeolewa ndoa yako inapitia shida nyingi, Kama hujaolewa ukiendelea hivyo ndoa utazisikilizia kwenye radio
 
Mkuu, [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG],
Nilimsikia Sepenga, akiwa interview sehemu kabla upepo wa sembe haujavumia kwake na kutakiwa kituo cha polisi kati na bado akiwa chama dola akasema nywele kwake ni Tshs 1 m, nguo na viatu na madini (jewelry) jumla kuu Tshs 3m.

Mkuu, Tshs 150,000/= wao wengine wanasema ni bei ya Big G a.k.a JoJo.
[emoji134] [emoji134] Sasa mkuu kwa style hii wengine tutaoa kweli 1M-3M ya kwenye urembo na mavazi tu hujafanyia kitu cha maana?? au kwa kuwa yeye pesa sio shida
 
150k ndio si hela ya kuchezea, but kugharamia kitu ukipendacho inaongeza thamani ya hicho kitu.
Binafsi sio mfuasi wa nywele bandia na siwezi kumruhusu mpenzi wangu kuzisuka, ishu si gharama ila kutozipenda tu.
Akizitamani afuge zake ziwe ndefu.

NB: usipompendezesha mUpenzi, watampendezesha wengine. Halafu kinachofuata sasa....... !
sasa mkuu akikwambia anataka 150 hautampa?
 
Mkuu hao kila kiungo chao ni gharama.
Masikio-hereni za dhahabu
Shingo-cheni ya dhahabu
Pua-kipini cha silver
Mikono-bangili za dhahabu
Kiuno-Shanga za zari zari
Mguu-Ka breclet ka dhahabu
Mkuu ulikua huyajui haya?[emoji2]
Nayajua mkuu ila mengine too much sasa
 
150k ndio si hela ya kuchezea, but kugharamia kitu ukipendacho inaongeza thamani ya hicho kitu.
Binafsi sio mfuasi wa nywele bandia na siwezi kumruhusu mpenzi wangu kuzisuka, ishu si gharama ila kutozipenda tu.
Akizitamani afuge zake ziwe ndefu.

NB: usipompendezesha mUpenzi, watampendezesha wengine. Halafu kinachofuata sasa....... !

asante kaka umemaliza
 
mhh mwanangu chrochet hizi laki nannusu ? na bunda zake si 8000 tu ? mhh mie nimesukiaga 20000/ nikawa mcharo hatari ! nadhan umemix madesa

au wewe unasema wig lake
Inategemea na salon unayoenda kwa mimi ninapoenda kuna moja 120,000/= kila kitu kwao na nyingine 150,000/= napo kila kitu kwao
 
[emoji134] [emoji134] Sasa mkuu kwa style hii wengine tutaoa kweli 1M-3M ya kwenye urembo na mavazi tu hujafanyia kitu cha maana?? au kwa kuwa yeye pesa sio shida

Ha haaaa haaaa haa ha ha ha

Mkuu, [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG],

Kumbuka, kila mtu ana pesa ila tunatofautiana kwenye matumizi.
 
mhh mwanangu chrochet hizi laki nannusu ? na bunda zake si 8000 tu ? mhh mie nimesukiaga 20000/ nikawa mcharo hatari ! nadhan umemix madesa

au wewe unasema wig lake
Mamy kuna zile za weaving sikujua kama anasemea hizo😉😉😉
 
mhh mwanangu chrochet hizi laki nannusu ? na bunda zake si 8000 tu ? mhh mie nimesukiaga 20000/ nikawa mcharo hatari ! nadhan umemix madesa

au wewe unasema wig lake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshangaa lakini nikabaki[emoji40]
 
Wanaume hatukupaswa kufungua hii uzi, next time mleta uzi please weka bango "wanawake piteni hapa" ama " kwa wanawake tu"
 
Ha haaaa haaaa haa ha ha ha

Mkuu, [HASHTAG]#Joseverest[/HASHTAG],

Kumbuka, kila mtu ana pesa ila tunatofautiana kwenye matumizi.
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] kweli
 
Kama umeolewa ndoa yako inapitia shida nyingi, Kama hujaolewa ukiendelea hivyo ndoa utazisikilizia kwenye radio

yaan yeye kuuliza ndo ushageuka mtabiri wa ndoa yake ? duh hvi kwann mpo hv !asipendeze jaman !cha! haya wewe mwenye ndoa perfect upo wapi km sio wote tupo humu tu !aolewe asiolewe unamlisha kwani! na nan kakuambia kuolewa ni dili km unavyojidanganya? hujaona huko kuna wanawake hawajaolewa wana status zao nzuri tu !grow up
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshangaa lakini nikabaki[emoji40]
Ungeulizia hizo bei nilizotaja ni za hizo rasta or not kama mamy alivoniuliza na sio kunifanya nionekane muongo coz mimi sikujua kama anazungumzia hizo......nenda kaulizie bei basi kwa aristotee au kwa texture beauty salon au unafikiri nadanganya na hata nikidanganya itasaidia nini!!

Halafu elewa kuna crochet za aina tofauti.....upo????
 
Umepanic mama. I didn't offend you anywhere,Take chill pills then..
 
Back
Top Bottom