Nilipata maumivu ya jino yaliyopelekea siku kuuma na kupiga baadae nikapata kama presha katika sikio, ile hali kama kuna kitu sikioni au maji hivi.
Ni siku mbili sasa jino limeponw kelele zimpungua ila ear fullness ,bado ipo
Dawa za matone zimedoda, kuna njia yoyote ya huduma ya kwanza naweza fanya ili hii hali iishe kabla sijaenda hospitali?
Nadhani ni ugonjwa unaitwa Miniere disease, Betahistidine itamsaidia. Kama dalili zikiendelea ukawaone madaktari wa pua masiko na koo, wanaitwa ENT surgon.