DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Lemidmckon

Member
Joined
May 14, 2019
Posts
19
Reaction score
21
Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
 
Na Note series waliiua Samsung, Note za mwisho ni zile Note 20 na 20 Ultra.
Kwasasa simu zao za thamani na zenye specs kali zinatoka S series na Z series (zile za kukunja au foldables, sema bei imesimama).
Ila sio mbaya kutumia older models, hapo kwa case ya S10+ vs Note 10+, chukua Note 10+ iko vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom