mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
Taasisi tajwa hapo juu nimekuwa nikiisikia sikia tu, kuwa inajihusisha na maswala ya kukopesha fedha kwa haraka, na riba zao naskia in ndogo sana, tofauti na Bayport, kwa mwenye taarifa sahihi za hawa watu naomba atupe ufafanuzi, then kama kuna MTU anajua wanapopatikana ndani ya manispaa ya Morogoro naomba atujuze pia,
ahsanteni wanna wa jukwaa murua !
Loan officer wa hiyo bank wanapenda rushwa sana
Inaitwa BancABC kwa msaada zaidi google uone km Moro Wana Tawi Na location yao. Ila Nijua mimi ni bank inayodeal na corporate customers tu.
Kila La Heri, Ila Kopa Kwa Sababu Maalum Usije Ukaingia Mkenge Ukajikuta Unaangamiza Familia Mkuu!