Msaada kuhusu taasisi ya fedha iitwayo ABC

mwambunnyara

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
518
Reaction score
208
Taasisi tajwa hapo juu nimekuwa nikiisikia sikia tu, kuwa inajihusisha na maswala ya kukopesha fedha kwa haraka, na riba zao naskia in ndogo sana, tofauti na Bayport, kwa mwenye taarifa sahihi za hawa watu naomba atupe ufafanuzi, then kama kuna MTU anajua wanapopatikana ndani ya manispaa ya Morogoro naomba atujuze pia,

ahsanteni wanna wa jukwaa murua !
 
Inaitwa BancABC kwa msaada zaidi google uone km Moro Wana Tawi Na location yao. Ila Nijua mimi ni bank inayodeal na corporate customers tu.

Kila La Heri, Ila Kopa Kwa Sababu Maalum Usije Ukaingia Mkenge Ukajikuta Unaangamiza Familia Mkuu!
 
Tena wanakuganda hao loan officer kama watalipa wao deni hili suala linawaharibia sifa bank ABC IPO siku nitawafanyia kitu hawatanisahau
 
Taasisi tajwa hapo juu nimekuwa nikiisikia sikia tu, kuwa inajihusisha na maswala ya kukopesha fedha kwa haraka, na riba zao naskia in ndogo sana, tofauti na Bayport, kwa mwenye taarifa sahihi za hawa watu naomba atupe ufafanuzi, then kama kuna MTU anajua wanapopatikana ndani ya manispaa ya Morogoro naomba atujuze pia,

ahsanteni wanna wa jukwaa murua !

morogoro wanapatikana jengo la posta ukiwa unaelekea magereza
 
Inaitwa BancABC kwa msaada zaidi google uone km Moro Wana Tawi Na location yao. Ila Nijua mimi ni bank inayodeal na corporate customers tu.

Kila La Heri, Ila Kopa Kwa Sababu Maalum Usije Ukaingia Mkenge Ukajikuta Unaangamiza Familia Mkuu!

Ahsante mkuu,nimelenga mambo muhimu sana,kwa dunia yetu ya Leo ukiogopa sana kukopa maendeleo endelevu utayapata baada ya kustaafu mkuu,kikubwa ni kupanga matumizi sahihi kwa pesa ya mkopo,sio kujistarehesha kwazo!!!!
 
Back
Top Bottom