Msaada kuhusu tendo la ndoa baada ya kujifungua

Acha hizo mkuu kuzibua masikio ndo nini?
Unataka kusema watoto wanaozaliwa kisha mama zao wanaaga dunia wanakuwa viziwi?
 
Najua humu wapo watu waogaaa kuliko usemi. Kuna kabila flan kanda ya ziwa. Ati mazaa akirudi tu kutoka kliniki alikojifungulia ka mzee hataweka japo hiyo rungu tu, anaambiwa mtoto sio wake. Upoo?? Haya, kuna wale wenzangu wa kule kusouth, ati ile nyumba basi mzee apewe japo kidoogo ale. Upoo??
Ni lini, kama kweli nyiye ni waaminifu mama ndo akuruhusu ila usishushe mzigo ndani. Mwaga nje. Hakuna wakati mambo ni matam ka unapoisikia harufu ilee ya maziwa maziwa anukiayo mama
 
Nilikaa miezi 6 na mume wangu ndie alikua mwoga kuliko mimi , mpe muda mwenzio arejeshe nguvu za mwili na akili yake iwe comfortable kwa tendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ina maana huyo mtu ana uchu wa namana gani?je akisafiri huwa anaishi ishi vipi awapo safarini?mkeo ni mkeo tu mpe nafasi akulele mtoto,mimi huwa nahama hata chumba kwa muda ampe mapenzi motomoto mtoto wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…