jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Mkuu usipige mzigo mpaka atake yeye..mwache arudie hali yake..kuanzia siku 40 tangu ajifungue sio mbaya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo mkuu kuzibua masikio ndo nini?WIKI SITA tokea alipojifungua unaweza kuanza kutanguliza kichwa ili kuzibua masikio ya mtoto, lakini zingatia na jali afya yake ukiona bado anahisi maumivu au damu na uchafu vinaendelea kutoka subiri usiwe na haraka, ikipita miezi mitatu rukwa kufanya yako mpaka akumbuke ZILIPENDWA@
Kweli we mwifwa
Nilikosea kureply wakuu.Duh!