Msaada kuhusu TradeMark Logo

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,692
Reaction score
5,647
Natumaini hamjambo.

Nina jambo ambalo linahitaji muongozo:

Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba niwaruhusu watengeneze trademark logo ya kampuni yao. Alieniandikia, ni mwanasheria, anadai ni mwakilishi wa hiyo kampuni.

Wamedraft conscent, wakanitumia, huku wakiomba niisign na iwe na mhuri wa notary.

Kwa anaeelewa haya maswala, naomba muongozo.
 
Kwa me nilivyoelewa, wanataka kuchukuwa haki yako bila kujua, ndiyo maana wamekuja kwa mtindo huo. Ukisaini tu, utajikuta umewapa haki yako ya jina la kampuni bila kujua. Kwa msaada zaidi tafuta mwanasheria akueleweshe kuhusu hicho walicho kituma. Be careful
 
Asante sana mkuu. Kwa taarifa walizonipa, wameconsult registrar, wakaambiwa hilo jina lina mwenyewe, hivyo yeye ndo mtu pekee wa kuwaruhusu. Hapo hapo wakadraft conscent, ndo nikafikilia,kwa vile alieituma ni mwanashelia, nadhani pia mimi inanilazimu kupata maarifa kishelia, nisije jibana sehemu bila kujua.
 
Ndugu wapige hela hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…