Natumaini hamjambo.
Nina jambo ambalo linahitaji muongozo:
Nina Kampuni,imesajiliwa kwa jina furani. Imejitokeza kampuni nyingine, yenye jina kama la yangu. Activities ni tofauti. Sasa, wanaomba niwaruhusu watengeneze trademark logo ya kampuni yao. Alieniandikia, ni mwanasheria, anadai ni mwakilishi wa hiyo kampuni.
Wamedraft conscent, wakanitumia, huku wakiomba niisign na iwe na mhuri wa notary.
Kwa anaeelewa haya maswala, naomba muongozo.