MWILI NYUMBA
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 817
- 255
Habari zenu waheshimiwa!
1: Naomba mnieleweshe kuhusu mabadiliko ya gharama za uchakavu (Kuanzia miaka 8 na kuendelea)wa magari toka nje yaliyotangazwa na waziri wa fedha hivi karibuni. Je gharama hizo zitakuwa ni kwa kila gari litakaloingia nchini kuanzia tar 1 July bila kujali lilinunuliwa lini na mteja husika au ni kwa yale tu yanayoonyesha kuwa yalinunuliwa kuanzia tar 1 July?
2: Binafsi ni muhanga wa hili na nipo njia panda, nimenunua Caldina ya cc 1990 ya mwaka 2005 toka mwezi wa 5 mwishoni lakini inatarajiwa kufika hapa mwanzoni mwa mwezi wa saba. Gharama za gari ni kama 3300 USD hii ni CIF. Je kama natakiwa kulipia uchakavu gari hii nijiandae kwa kiasi gani au kama nimesalimika gharama zake zitakuwaje?
Muongozo wenu muhimu sana wakuu!!