Msaada: Kuhusu uagizaji wa magari toka nje

MWILI NYUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
817
Reaction score
255
Habari zenu waheshimiwa!

1: Naomba mnieleweshe kuhusu mabadiliko ya gharama za uchakavu (Kuanzia miaka 8 na kuendelea)wa magari toka nje yaliyotangazwa na waziri wa fedha hivi karibuni. Je gharama hizo zitakuwa ni kwa kila gari litakaloingia nchini kuanzia tar 1 July bila kujali lilinunuliwa lini na mteja husika au ni kwa yale tu yanayoonyesha kuwa yalinunuliwa kuanzia tar 1 July?

2: Binafsi ni muhanga wa hili na nipo njia panda, nimenunua Caldina ya cc 1990 ya mwaka 2005 toka mwezi wa 5 mwishoni lakini inatarajiwa kufika hapa mwanzoni mwa mwezi wa saba. Gharama za gari ni kama 3300 USD hii ni CIF. Je kama natakiwa kulipia uchakavu gari hii nijiandae kwa kiasi gani au kama nimesalimika gharama zake zitakuwaje?

Muongozo wenu muhimu sana wakuu!!
 
Khsanteni wakuu! Vipi kuna mwenye majibu juu ya hizo hoja hapo juu?
 
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.
 
Ok, Umenunua toka mwezi wa tano means iko majini toka mwezi Huo? Au malipo ndio yalikua mwezi wa tano?

Kuna tarehe mbalimbali ambazo watu wanahisi ndio zitatumika ila uhakika hakuna;
-Payment Date
-Bill of Lading date
-TRA assessment date
-Arrival date

Sasa basi ili uwe safe side, ukipata tu documents mwezi huu hata kabla mzigo haujafika, anza ku-launch TRA kabisa!!
 
Mkuu wangu malipo ndiyo yalikuwa mwezi wa tano mwishoni, kwasasa hata Bill of Loading hawajaitoa bado lakini nikiwasiliana kwa e-mail wanasema mzigo upo majini na niutegemee huku mwezi wa 7 mwanzoni.B/L wanasema watatoa ndani ya wiki mbili zijazo toka sasa.

Kwakweli waitutoza uchakavu watakuwa wanatuonea maana wengine tumenunua kipindi sheria hii haipo tena wala haijatangazwa bado, Ngoja niongeze ibada kikombe hichi kiniepuke aisee maana dah nitaumbuka mjini mie.

Vipi kuhusu gharama za TRA maana ile calculator yao hata siielewi kabisa.
 
Hii itahusu magari yote ambayo assessment yake itatengenezwa kuanzia tarehe 1 july .
 
Habari zenu waheshimiwa!

1: Naomba mnieleweshe kuhusu mabadiliko ya gharama za uchakavu (Kuanzia miaka 8 na kuendelea)wa magari toka nje yaliyotangazwa na waziri wa fedha hivi karibuni. Je gharama hizo zitakuwa ni kwa kila gari litakaloingia nchini kuanzia tar 1 July bila kujali lilinunuliwa lini na mteja husika au ni kwa yale tu yanayoonyesha kuwa yalinunuliwa kuanzia tar 1 July?

2: Binafsi ni muhanga wa hili na nipo njia panda, nimenunua Caldina ya cc 1990 ya mwaka 2005 toka mwezi wa 5 mwishoni lakini inatarajiwa kufika hapa mwanzoni mwa mwezi wa saba. Gharama za gari ni kama 3300 USD hii ni CIF. Je kama natakiwa kulipia uchakavu gari hii nijiandae kwa kiasi gani au kama nimesalimika gharama zake zitakuwaje?

Muongozo wenu muhimu sana wakuu!!

Mkuu total tax unayopaswa kulipa ili uweze kutoa gari yako bandarini ni kama 1811 USD, Excluding other port charges, which by then they are very minor costs.
 
Wadau poleni na majukumu,naomba msaada wa kiuelewa ndugu zangu nimejalibu kuingia website ya be foward nimeona magari mbalimbali sasa nikawa nataka nichukue suzuki swift ya mwaka 2003 kwa sababu ndio ntaweza kuiweka barabarani daily na mpunga nilionao saizi mfukoni ni 6million.hiyo gari CIF ni USD 1996=TSH 3,309,368. ninahitaji BEI gani mpaka gari iwe mikononi mwangu wakuu.?nimeingia website ya TRA nimeshindwa kuelewa hesabu zao.Naomba msaada.
 
Hii itahusu magari yote ambayo assessment yake itatengenezwa kuanzia tarehe 1 july .

Sasa kiongozi nifanyeje ili assessment ifanyike kabla ya July 1 wakati mpaka sasa Bill of Loading bado sijaipata wananiambia niitegemee ndani ya wiki mbili toka sasa.
 
Mpaka manifest ya meli iwe registered tra kabla ya tarehe hiyo
 
Mungu wangu, sasa kwa maelezo yangu hayo kweli inawezekana kweli ikawa registered kabla ya hiyo Tarehe 1 July?
 
Inakuwa registred siku 3 kabla meli kuingia

Duh! Basi imeshakula kwangu hiyo bora nijipange tu kuwa na hayo mamilioni kadhaa kuitoa bandarini. But this system is not fair at all.
 
Mkuu total tax unayopaswa kulipa ili uweze kutoa gari yako bandarini ni kama 1811 USD, Excluding other port charges, which by then they are very minor costs.

Kiongozi hizo charges nyingine na zenyewe kwa kukadiria tu haraka haraka inaweza kufika shilingi ngapi? Ukijumuisha na posho ya Agent wa ku-clear pale bandarini?
 
Mkuu wangu malipo ndiyo yalikuwa mwezi wa tano mwishoni, kwasasa hata Bill of Loading hawajaitoa bado lakini nikiwasiliana kwa e-mail wanasema mzigo upo majini na niutegemee huku mwezi wa 7 mwanzoni.B/L wanasema watatoa ndani ya wiki mbili zijazo toka sasa.

Kwakweli waitutoza uchakavu watakuwa wanatuonea maana wengine tumenunua kipindi sheria hii haipo tena wala haijatangazwa bado, Ngoja niongeze ibada kikombe hichi kiniepuke aisee maana dah nitaumbuka mjini mie.

Vipi kuhusu gharama za TRA maana ile calculator yao hata siielewi kabisa.

Mkuu,
Gri ipo majini na BL hauna?? Hii sio sawa, labda kama hilogari unalisafirisha kirafiki zaidi kuliko kiofisi.
Unajua inakuja na meli gani?
Na sasa ukitaka kujua iko wapi na pengine Bongo itafika lini unafanyaje?

Mkuu wangu next time usiruhusu hii kitu, kama Gari ishapakia means BL ishatoka.
 
Back
Top Bottom