Then if that's the case.., nadhani ni vizuri zaidi kwa wote wawili kufanya kipimo kinachoitwa Culture and Sensitivity kujaribu kutafuta aina ya bacteria na dawa ambazo zina uwezo wa kuwaua....!!!)))
Issue ya kuwa mnameza dawa bila mafanikio inaweza kuelezeka kwa namna mbili :
Moja,itakuwa dawa mlizotumia mpaka sasa hazina uwezo wa kuwaua bacteria mlio nao kwakuwa wametengeneza RESISTANCE dhidi ya hizo dawa...!!!)))
Mbili, (ie nisingependa kuiweka ila inahitaji kufahamika na kueleweka vizuri na kila mtu aliye kwenye mahusiano ya kudumu) ambayo pia inaweza kuelezea situation kama hii ni kuwa kama mmoja wenu ana partner mwingine wa pembeni na hajawahi tibiwa/carrier.., basi ni kwamba mkijitibu bacteria watarudishwa tena kutoka kwa carrier.., kama nilivyosema juu.., haya magonjwa ni kama malaria.., kila unapoumwa na mbu unaweza kuipata bila kujali umeshakula dozi mara ngapi au mara ya mwisho uliugua lini...!!!)))
Nimeona nikuwekee na hiyo option ya pili because I can feel how much you want to get rid of that problem.., despite how hurtful/painful it can be to imagine.., please do not get me wrong.., I have written with regard to my profession na si maneno ya kufikirika
princess ariana.....!!!)))