Msaada kuhusu UTI

Msaada kuhusu UTI

Pole sana hiyo ni STI siyo UTI kama ilivyoelezwa na mwenzetu, ila wapo clinical officer wengi tu wazuri kuliko some drs.Concern yangu ni kuwa tukubali kutumia condom hali ya sasa ni mbaya sana kwenye maswala ya kujamiiana mtu mmoja ana partiners wengi kupitiliza hivyo magonjwa ya ngono yanaongoza sana lakini tuogope na ukimwi pia kwa sababu hizo dawa za kufubasha zina madhara mengi makubwa japo zinasaidia mtu aishi lakini wengine wanazishindwa wanaamua kuacha na wanakufa CD 4 zinaisha haraka nimeeleza hivyo kwa sababu wengi huacha kutumia condom wanasema dawa za ukimwi zipo dawa za kuponesha ukimwi hakuna ila za kufubaisha tu
 
Haya ndugu yangu mimi tena nataka kwenda labaratory moja hapo mjini nikacheki kama wakisema UTI naomba tu mniambie dawa za hiyo sti mie nitumiee
 
Hiyo ni asymptomatic gonnorrhea(kisonono).....ni nadra sana kuitofautisha na UTI inabidi uende hospitali nzuri wakufanyie discharge swab waoteshe hiyo discharge kuona kama kuna Growth yyt ya gonococci bacteria....uko mkoa gani??...ili nione namna ya kukusaidia
safi sana,,Mungu akupe zaidi shauku ya kusaidia watu wenye shida zilizo ndani ya uwezo wako pasipo kujali utalipwa kiasi gani?barikiwa sana mkuu
 
Salamu zangu kwa wote humu ndani, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25, nakumbuka mwaka jana kwenye mwezi wa 10 ivi nilipatwa na tatizo la UTI ambalo lilinishtua kidogo kwasababu sikuwahi kuumwa halafu ni kama ilikua UTI kali japo sijui UTI kali na isiyo kali ni ipi.

Kwanini nasema kali kwasababu yalianza tu maumivu wakati wa kukojoa mimi nikiwa nayapuuza tu badae maumivu yakazidi badoo nikahisi ni tatizo linapita tuu,,lkn siku moja naamka asubuhi naona kama boxer yangu ina usaha kabisaa nikashtuka kweeli,,khali ya mfuko nayo si nzuri ikabidi nitafute hela niende hospitali lakini siku moja kabla ya kwenda hosptal nikajiangalia ivi uume asubuhi nikakuta usaha mwingi saana unatoka kwenye sehemu ya kutolea mkojo, nikapata wasi wasi moja kwa moja mpaka hospitali

Hosptal wakachukua kipimo cha mkojo wakaniambia tu nina UTI wakanipa dawa aina mbili tu za kumeza cipro na panadol afu walinipa nusu dozi sijui nikameza zikaishaa nafuu kidogo nikapata.

Lakini khali ya maumivu ikaendelea kunipata, nikaongea na jamaa yangu mmoja ivi wa karibu akaniambia yeye mwenyewe anasumbuliwa na UTI lakini dozi iliyomponyesha ni ya cipro pamoja na doxy, akanishauri nitumie pia nikatumia nikapata nafuu, lakini sikupona kabisaa yaani ikawa kama nimekunywa maji mengi maumivu sisikii ila nikiwa busy sijanywa maji nasikia maumivu.

Mpakaa leo naandika hapa bado nasikia maumivu wakati wa kukojoa hasa wakati wa asubuhi ndio maumivu huwa makali zaidi sasa NAOMBENI USHAURI doctors wa humu je kuna dawa naweza nikatumia kwa tatizo hili ambazo ni nzuri kuliko cipro na doxy, au nirudi tena hospitali?

Natanguliza shukrani zangu!
Mkuu Achana na Dawa za Hospitali nitafute mimi nikupe dawa zangu za asili za kukutibu hayo maradhi yako ya UTI Sugu utatumia dawa zangu kwa siku 21 na utapona na kusahau kama ulikuwa unayo hayo maradhi ya UTI Sugu.Ila dawa zangu zina gharama tu ujiandae.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Mkuu Achana na Dawa za Hospitali nitafute mimi nikupe dawa zangu za asili za kukutibu hayo maradhi yako ya UTI Sugu utatumia dawa zangu kwa siku 21 na utapona na kusahau kama ulikuw auanyo hayo maradhi ya UTI Sugu.Ila dawa zangu zina gharama tu ujiandae.

unapatikna wapi na mimi nahitaji hizo dawa
 
Pole ndugu....ushauri wa bure na lazima...mimi sio daktari lakini penda kutunza afya yako ...nenda hosptali za serikali au binafsi uwaone mabingwa madaktari kwa kila tatizo au kupima afya yako kwa usahihi...wakati unaumwa au wakati huumwi fanya medical chekup mara mbili kwa mwaka au nne kwa mwaka kama unapenda kujijali afya yako na ubora wake..
Vipimo na ushauri wa kidaktari ndio suluhisho wa yote kama utazingatia....Pole sana ndugu
 
Natamani kupona mkuu mzizi mkavuu lakini sasa hizo bei unazosema ndio shida labda unidokezee ni shi ngap kwa hili tatizo... Nipo mbeya
 
Nakushukuru ndugu yangu
 
Natamani kupona mkuu mzizi mkavuu lakini sasa hizo bei unazosema ndio shida labda unidokezee ni shi ngap kwa hili tatizo... Nipo mbeya
Siwezi kusema hapa ukiweza nitafute kw awakati wako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Jamani anaefaham hyo culture na sensitivity hapa dar inapatikana sehemu gani naomba msaada
 
Mimi pia sikuwahi kuumwa u.t.I ikaanza mwaka Jana..
nmekunywa:
Cipro
Metro
Dox
Flu can
zile za kutumbukiza kwa papuchi aina zote
zile za rangi mbili
nmechoma cetriaxone mpaka mishipa imesimama...ya mkononi!

yani mwaka Jana nmeumwa zaidi ya mara5
mpka napotezea sometimes...
yani nmechoma sindano mpaka najichanganyia mwenyewe kasoro kujichoma!

Mimi nahisi hizi dawa haziondoi ugonjwa!
zinazidisha!!
na mpaka sasa Niko na dozi ...
ya (NITROFRULANTOIN & PIROXICAM)
jaribu hizo nasikia ni nzuri Sana.
Jaribu kufanya urine culture ujue dawa sahihi ya kutibu tatzo lako sio kujaribu kila dawa. Mm pia UTI imenisumbua sana zaidi ya mwaka sasa. Dr Mmoja akanishauri kufanya urine culture and sensitivity wakagundua wadudu waliopo pamoja na dawa ya kuwaua. Na sasa niko njema kbsa
 
uko mkoa gani mkuu?je kama upo dar unajua sehemu wanapofanya hiyo culture??
 
Mpaka sasa nimeenda hospitali mbili tena hii ya mwisho niliandikiwa sindano pia nikaambiwa nna fangus( maana nilikua nasikia muwasho fulani kwa njia ya haja kubwa) nikapewa amoxiline, fluconazole, albendazole, pandaol. Nimetumia vyote kwa usahihi saana lakini holaaa uti ipo tenaa kaali...juzi nimenda duka la dawa za asili nimenunua dawa fulani za kiarabu moja inaitwa zindu na nyingine shifaa irtifaa ndio nimeanza kutumia hizo,nikimaliza dawa ntaleta mrejesho.

Ugonjwa huu unaninyima rahaa
 
Pole sana kwa tatizo ulilonalo. Ni vigumu kufahamu kinachokusumbua bila kufanya vipimo sahihi. Kwa maelezo yako inaonekana kama ni STI na wala si UTI. Ni vizuri ufanyiwe culture and sensitivity kutoka kwa maji maji yanayotoka kwenye uume. Kutumia hizo dawa bila kuwa na uhakika wa ugonjwa unaokusumbua ni kama kuchoma kisu gizani,hujui kitampata nani. Pole sana mkuu
 
Urethral Discharge Syndrome/Non gonococcal urethritis/Uti ni ngumu sana kutofautisha magonjwa haya bila vipimo,Ila pole sana ndugu

Kosa la kwanza,Kutumia nusu dozi
kosa la pili,Kanunue cipro na dox bila kupima.

ushauri...kama una patna/Mwenza nendeni wote mkatibiwe.

Kunywa maji ya kutosha.

Usafi wa nguo wa ndani uwe unazianika nje baada ya kuzifua.

Usitumie dawa tena bila kumwona dr na kupima

Siwezi kuandika dawa hapa bila wewe kumwona dr na kupima.

ukizangatia hayo ndani ya wiki mbili umepona.

pole sana.
 
Asante mkuuu
 
Unajua mkuu wakati mwingine hizi khali zinachosha saana, mtu unaenda hospitali nne tofauti wanakwambia ugonjwa mmoja wanakupa dawa hospitali nyingine sindano na dawa lakini unapona tu unapotumia zile dawa ukiacha khali inarudi.

Hali hii inaumiza ukifikiria khali ngumu ya kiuchumi japo afya zetu tunazipenda ndio vile tunajitahidi kwenda hospitali tofauti tofauti.

Lakini nashukuru dawa nilizotumiaa za asili ziMenionesha matokeo fulani walau sasa naweza kusema kwa 90% ugonjwa umeisha nimebaki kusikia maumivu kidogo saana wakati wa mkojo wa kwanza wa asubuhi,

kwakua yule mtu alisema nimuone nikimaliza dozi basi ntakwenda kumuona

All in all nawapenda bure jamii forum hamjawahi niangusha ushauri wenu umenifungua mengii[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom