princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
garama siogopi...Inategemeana, usiogope gharama jali kupona.
cipro zinaumiza[emoji22][emoji22]MREJESHOO
Asanteni ndugu zangu wote mliochangia uzi huuu, ushauri wenu niliufanyia kazi na hasa niliamua kufanyia kazi suala la kuonana na doctor mtaalamu kabisa ambapo niliamua kwenda hospital ya mkoa ya Mbeya.
Nilienda pale hospital nikaonana na daktari nikamwambia kila kitu kuhusu maumivu yalivokua yanaumaa kuhusu uchafu kama usahaa, kuhusu kwenda hospital na kuambiwa nina UTI na kumaliza dawa lakini bila kupona finally nikamueleza ushauri niliopata humu wa suala zima la kufanyiwa culture au kuchoma sindano zile nafikiri mlisema za power kitu kama hicho.
Daktari akanisikiliza akaniambia.still nahitaji kukupima mkojo wako, nikakubali akanielekeza maabara na akawa ameandika nipimwe UTI na STI's, nikapimwa na nikamrudishia majibu cha ajabu akaniambia una UTI akanishauri shauri shauri palee wee sijui choo tumia kisafi mambo mengi akaniandikia cipro nayeye. Nikamwambia dr kufanyiwa culture ndio hakupo tena akaniambia haina haja wewe una UTI tumia hizo dawa.
Kwakweli sielewi sasa ndugu zangu inawezekana kweli nina uti au maana mimi kwa maelezo ya wengi humu nikajua tu ntakua na ugonjwa mwingine.
Kiukweli najihisi hizi dawa hazitanisaidia, sijui labda doctors wa humu mnanisaidiaa kunishauri vipi tena.
NB: HOSPITAL ZETU ZA SERIKALI HIZI HUDUMA MBOVU YAANI KUUPIMWA TU NA KUPEWA HIZO CIPRO NIMETUMIA SIKU TATU NZIMAA KUKANYAGA HOSPITALI
Ok,Inategemeana na Maabara maana hakuna bei elekezi kwa Maabara binafsi,mimi nililipa tsh 70,000/=kwa kipimo cha culture and sensitivity ya ngozi,mkoa wa Morogoro.garama siogopi...
tatizo hela
Upo sahihii umasikini mbabee saaanacipro zinaumiza[emoji22][emoji22]
umaskini mbaya Sana ,kila nikiuza simu haiuziki basis nikafanye haYo makacha
tunatakaga kuponaUpo sahihii umasikini mbabee saaana
Kweli kabisa, naamini kwenye hospitali za serikali ni nafuu tofauti na Hospital binafsi lkn kama unavyojua huduma za hospitali zetu,unamwambia dawa nimetumia zaidi ya mara mbili yeye anakupa tu, ukimwambia nifanyie kipimo flani anakwambia unanifundisha kazi,kinachofuata heri usepe tu kishingo upandetunatakaga kupona
tatizo hela
hakunaga anaependa kuumwa.
ndio maana tunakazna kuuliza dawa, tukiambia hizokacha ndo tunanyong'onyea kabisa
ndio maana tunazidi kuumwa... maana dawa nazo ni tatizoKweli kabisa, naamini kwenye hospitali za serikali ni nafuu tofauti na Hospital binafsi lkn kama unavyojua huduma za hospitali zetu,unamwambia dawa nimetumia zaidi ya mara mbili yeye anakupa tu, ukimwambia nifanyie kipimo flani anakwambia unanifundisha kazi,kinachofuata heri usepe tu kishingo upande
Kweli kabisa hakuna anayependa kuumwa mimi hii hali ya kusema nna ugonjwa mwilini inaniumiza saanatunatakaga kupona
tatizo hela
hakunaga anaependa kuumwa.
ndio maana tunakazna kuuliza dawa, tukiambia hizokacha ndo tunanyong'onyea kabisa
Si kama yalonikuta namwambia cipro hizo hazikunisaidiaa ananiandikia ananipa na masharti ya kutumia choooKweli kabisa, naamini kwenye hospitali za serikali ni nafuu tofauti na Hospital binafsi lkn kama unavyojua huduma za hospitali zetu,unamwambia dawa nimetumia zaidi ya mara mbili yeye anakupa tu, ukimwambia nifanyie kipimo flani anakwambia unanifundisha kazi,kinachofuata heri usepe tu kishingo upande
choo,sabuniSi kama yalonikuta namwambia cipro hizo hazikunisaidiaa ananiandikia ananipa na masharti ya kutumia chooo
Jaribu CEPHATEXIN CAPSULES nimetoka kumaliza doz sio siku nyingi naona maumivu sina tena yaan nimepona. Na ikiendelea zaid nenda kachome shindano.Salamu zangu kwa wote humu ndani, mimi ni kijana wa kiume nina miaka 25, nakumbuka mwaka jana kwenye mwezi wa 10 ivi nilipatwa na tatizo la UTI ambalo lilinishtua kidogo kwasababu sikuwahi kuumwa halafu ni kama ilikua UTI kali japo sijui UTI kali na isiyo kali ni ipi.
Kwanini nasema kali kwasababu yalianza tu maumivu wakati wa kukojoa mimi nikiwa nayapuuza tu badae maumivu yakazidi badoo nikahisi ni tatizo linapita tuu,,lkn siku moja naamka asubuhi naona kama boxer yangu ina usaha kabisaa nikashtuka kweeli,,khali ya mfuko nayo si nzuri ikabidi nitafute hela niende hospitali lakini siku moja kabla ya kwenda hosptal nikajiangalia ivi uume asubuhi nikakuta usaha mwingi saana unatoka kwenye sehemu ya kutolea mkojo, nikapata wasi wasi moja kwa moja mpaka hospitali
Hosptal wakachukua kipimo cha mkojo wakaniambia tu nina UTI wakanipa dawa aina mbili tu za kumeza cipro na panadol afu walinipa nusu dozi sijui nikameza zikaishaa nafuu kidogo nikapata.
Lakini khali ya maumivu ikaendelea kunipata, nikaongea na jamaa yangu mmoja ivi wa karibu akaniambia yeye mwenyewe anasumbuliwa na UTI lakini dozi iliyomponyesha ni ya cipro pamoja na doxy, akanishauri nitumie pia nikatumia nikapata nafuu, lakini sikupona kabisaa yaani ikawa kama nimekunywa maji mengi maumivu sisikii ila nikiwa busy sijanywa maji nasikia maumivu.
Mpakaa leo naandika hapa bado nasikia maumivu wakati wa kukojoa hasa wakati wa asubuhi ndio maumivu huwa makali zaidi sasa NAOMBENI USHAURI doctors wa humu je kuna dawa naweza nikatumia kwa tatizo hili ambazo ni nzuri kuliko cipro na doxy, au nirudi tena hospitali?
Natanguliza shukrani zangu!
saw aJaribu CEPHATEXIN CAPSULES nimetoka kumaliza doz sio siku nyingi naona maumivu sina tena yaan nimepona. Na ikiendelea zaid nenda kachome shindano.
Kama ni UTI sugu kuna sindiano unachomwa kuzuia kujirudia rudia kwa UTIsaw a
sindano gani?
Kama ni cetriaxone nmezichoma sanaKama ni UTI sugu kuna sindiano unachomwa kuzuia kujirudia rudia kwa UTI
Kama ni cetriaxone nmezichoma sana
pole Sana, Kama kuna alieleta huu ugonjwa alaaniwe[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] tunashindwa kuishi kwa amaniMm pia Nina tatzo kama hilo na mda mwingine mkojo unakuwa Na damuu Na maumivu makal upande ilipo figoo nimepiga ultrasound wamesema kidney ina maji(hydronephrosis) nimefanya culture Na sensitivity test nimeambiwa na gram negative bacilli xaxa natumia ofloxacin .ilaa hili tatzo linajirudia maana b4 nilichona power safe 5 likaja tenaa sahv natumia Hiyo dawa ilaaa napataga maumivu makal sanaa
Daaa hapo kwakweli mpaka natishika inaamaana namimi ntaweza kuwa nahangaika ivo ivoo ndugu yangu mpka culture umepiga sensitivity sijui umepiga ultra sound umepiga na bado unaumwa mie hata hiyo hela naikuta wapi jobleess miee daaaMm pia Nina tatzo kama hilo na mda mwingine mkojo unakuwa Na damuu Na maumivu makal upande ilipo figoo nimepiga ultrasound wamesema kidney ina maji(hydronephrosis) nimefanya culture Na sensitivity test nimeambiwa na gram negative bacilli xaxa natumia ofloxacin .ilaa hili tatzo linajirudia maana b4 nilichona power safe 5 likaja tenaa sahv natumia Hiyo dawa ilaaa napataga maumivu makal sanaa
Princess ariana kazi tunayoo tena kubwaaapole Sana, Kama kuna alieleta huu ugonjwa alaaniwe[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] tunashindwa kuishi kwa amani
Utaponaa tyuu mkuuDaaa hapo kwakweli mpaka natishika inaamaana namimi ntaweza kuwa nahangaika ivo ivoo ndugu yangu mpka culture umepiga sensitivity sijui umepiga ultra sound umepiga na bado unaumwa mie hata hiyo hela naikuta wapi jobleess miee daaa