Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habarini za usiku wapendwa.
Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
Nashukuru sana mkuuNi hali ya kawaida hata mimi mtoto wangu ilikuwa hivo baada ya kwenda hospital wakesema ni kwamba ana utosi mdogo na sasa hivi na miaka 3 yuko sawa kabisa