Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
Ni hali ya kawaida hata mimi mtoto wangu ilikuwa hivo baada ya kwenda hospital wakesema ni kwamba ana utosi mdogo na sasa hivi na miaka 3 yuko sawa kabisa