Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

Msaada kuhusu Verification Certificate inayopatikana kwenye Ajira Portal

Breezyman

Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
70
Reaction score
60
Wadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal.

Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
 
Wadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal.

Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
mkuu ulipata msaada hapa?
kuna mdogo wangu pia anapata shida kama hii na akiomba maombi yanakuwa rejected
 
Hapo Ni unaambatisha vyeti vyako ambavyo vipo verified na mwanasheria hivyo ndo unaviscan na kuviweka.... Cheti Cha kuzaliwa Cha 4m 4 na kuendelea vyoteee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot iko kisehemu....
Kuna mahali unatakiwa uweke vyeti vile vya board Kama umesajiliwa na board ya kitu ulichosomea na Kuna mahali unaweka ivyo Sasa sijajua unapasemea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Alichouliza huyu kwenye hii thread. Verification certificates una-attach vyeti ambavyo vipo verified like by TCU kwa wale walosomea vyuo nje ya Tanzania. Ndio maana kama umesomea Tanzania ukienda pale kwa ajili ya ku-attach documents hufanikiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo Ni unaambatisha vyeti vyako ambavyo vipo verified na mwanasheria hivyo ndo unaviscan na kuviweka.... Cheti Cha kuzaliwa Cha 4m 4 na kuendelea vyoteee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria ha-VERIFY vyeti, ana CERTIFY vyeti. TCU wana VERIFY vyeti, hawa-CERTIFY vyeti.
Vyeti vya shule vilivyokuwa CERTIFIED vinaekwa kwenye Academic Qualification pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanasheria ha-VERIFY vyeti, ana CERTIFY vyeti. TCU wana VERIFY vyeti, hawa-CERTIFY vyeti.
Vyeti shule vilivyokuwa CERTIFIED vinaekwa kwenye Academic Qualification pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mkuu umenichanganya, Naomba kuuliza kwa hiyo wote tunaotuma maombi kwa ajira portal tunatakiwa kupitia TCU kwa ajili ya kuverify vyeti? au kuna mfumo wa TCU wa kuverfy vyeti?
 
kwaiyo mnamaanisha vyeti vyangu vyoote nilivyopewa havijawa certified mpaka niende kwa mwanasheria.
 
kwaiyo mnamaanisha vyeti vyangu vyoote nilivyopewa havijawa certified mpaka niende kwa mwanasheria.
Yes... this time hauto weza kushiriki mchujo wa ajira portal bila ku certify vyeti.
 
Hakuna kitu kama

kama hcho
Hii kitu mbona hakimake sense, kucertify ndo nn bhna kimaliziana hela.. wengi tumetuma bila kucertify vyeti na ilikubali kuomba Ajira. Hebu tuone itakuwaje.
Ila hata watu wakiitwa interview wanatakiwa kwenda na vyeti husika kwahyo si wanathibitisha hukohuko
 
Yes... this time hauto weza kushiriki mchujo wa ajira portal bila ku certify vyeti.
Mkuu, account tunazo Toka kitambo na tulishaweka vyeti vitu OG..

Wewe ndio meneja mkuu Hapo Ajira Portal utupe maelezo hapa
 
Watu wengine n wapotoshaji kabisa hawa utakuta nd wale waliosomea kilimo cha mboga mboga n kachumbari mpk nafasi zitangazwe n kisanga.. Mm mwez wa 12 nmeitwa interview bila ku certify wala nn

Hebu tuachanenae kwanza,
We ulienda kufanya kada ipi mkuu.., Maswali Yao yalibase kwenye nini..?
 
Back
Top Bottom