Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambatanisha vyeti vyako mkuuWadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal.
Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
mkuu ulipata msaada hapa?Wadau, naomba msaada kuhusu Verification Certificate ambayo inapatikana kwenye Ajira Portal.
Sehemu hii ni ya ku-add vitu gani?
Hapo Ni unaambatisha vyeti vyako ambavyo vipo verified na mwanasheria hivyo ndo unaviscan na kuviweka.... Cheti Cha kuzaliwa Cha 4m 4 na kuendelea vyoteee
Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot iko kisehemu....
Alichouliza huyu kwenye hii thread. Verification certificates una-attach vyeti ambavyo vipo verified like by TCU kwa wale walosomea vyuo nje ya Tanzania. Ndio maana kama umesomea Tanzania ukienda pale kwa ajili ya ku-attach documents hufanikiwi.Screenshot iko kisehemu....
Kuna mahali unatakiwa uweke vyeti vile vya board Kama umesajiliwa na board ya kitu ulichosomea na Kuna mahali unaweka ivyo Sasa sijajua unapasemea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria ha-VERIFY vyeti, ana CERTIFY vyeti. TCU wana VERIFY vyeti, hawa-CERTIFY vyeti.Hapo Ni unaambatisha vyeti vyako ambavyo vipo verified na mwanasheria hivyo ndo unaviscan na kuviweka.... Cheti Cha kuzaliwa Cha 4m 4 na kuendelea vyoteee
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaahe nmechanya.... Asante kwa kunirekebishaMwanasheria ha-VERIFY vyeti, ana CERTIFY vyeti. TCU wana VERIFY vyeti, hawa-CERTIFY vyeti.
Vyeti shule vilivyokuwa CERTIFIED vinaekwa kwenye Academic Qualification pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mkuu umenichanganya, Naomba kuuliza kwa hiyo wote tunaotuma maombi kwa ajira portal tunatakiwa kupitia TCU kwa ajili ya kuverify vyeti? au kuna mfumo wa TCU wa kuverfy vyeti?Mwanasheria ha-VERIFY vyeti, ana CERTIFY vyeti. TCU wana VERIFY vyeti, hawa-CERTIFY vyeti.
Vyeti shule vilivyokuwa CERTIFIED vinaekwa kwenye Academic Qualification pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenisaidia na mm, saute mkuuAlichouliza huyu kwenye hii thread. Verification certificates una-attach vyeti ambavyo vipo verified like by TCU kwa wale walosomea vyuo nje ya Tanzania. Ndio maana kama umesomea Tanzania ukienda pale kwa ajili ya ku-attach documents hufanikiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama hchoYes... this time hauto weza kushiriki mchujo wa ajira portal bila ku certify vyeti.
Hii kitu mbona hakimake sense, kucertify ndo nn bhna kimaliziana hela.. wengi tumetuma bila kucertify vyeti na ilikubali kuomba Ajira. Hebu tuone itakuwaje.Hakuna kitu kama
kama hcho
Mkuu, account tunazo Toka kitambo na tulishaweka vyeti vitu OG..Yes... this time hauto weza kushiriki mchujo wa ajira portal bila ku certify vyeti.
Mkuu, account tunazo Toka kitambo na tulishaweka vyeti vitu OG..
Wewe ndio meneja mkuu Hapo Ajira Portal utupe maelezo hapa
Hebu tuachanenae kwanza,Watu wengine n wapotoshaji kabisa hawa utakuta nd wale waliosomea kilimo cha mboga mboga n kachumbari mpk nafasi zitangazwe n kisanga.. Mm mwez wa 12 nmeitwa interview bila ku certify wala nn
TCU wanaverify vyeti kwa wale waliopata vyeti vya taaluma nje ya nchi.Hapa mkuu umenichanganya, Naomba kuuliza kwa hiyo wote tunaotuma maombi kwa ajira portal tunatakiwa kupitia TCU kwa ajili ya kuverify vyeti? au kuna mfumo wa TCU wa kuverfy vyeti?