Tape measure
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,981
- 3,604
Yap!!traders wengi hasa wanaoanza trading ambao wana experience ndogo huwa hawazingatii hayo au hata kuyafuatilia ,kingine unakuta mtu ana trade pair hata sita kwa wakati mmoja hapo hana analysis ya hizo pair hata kidogo kitu kinachomuweka kwenye risk side .Hiyo namba 3 na 4 ndiyo ujanja wanaotumia akina Ontario na matrader wa south Afrika kuwa millionea!
Pumbavu
nilikuza from 13usd to 1800usd kwa kutrade vix 75
Ukufanyaje kaka type maujuzi
Naomba unifundishe na mimi vix please
Hellow nahitaji mwongozo kuhusu hiyo vix naombanilikuza from 13usd to 1800usd kwa kutrade vix 75
Weekeza katika elimu kwanza alafu tumaIa lot size ndogo.Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika
Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
Mkuu wekeza kwenye elimu kwanza ujue kipi unakifanya tofauti na hapo utapoteza kila mara mkuu wanguKwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika
Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
Hugo kijana hawa wengine ujanja ujanja mwingiwakuu mi broker yupi mzuri, mm nataka kuanza ku trade ila sijui nichukue broker yupi.. msaada wenu Mazigazi KISIWAGA Behaviourist
duh mbona una mpotosha mwenzio 250$ ni capital ndefu sana bro kuifikisha 1000$ kwa mwez ni 98% sure as long as unajua unacho kifanyaDola 750 ndani ya mwezi kwa mtaji wa 250$ ni uongo unaowezekana,labda utafute ushauri kwa ref wayne au Sindile shezi,ila kwa traders wa mitaji ya kibongo sijui kama inawezekana! Labda kwa IQ option
Sent using Jamii Forums mobile app
mm nilikuza 20$ plus 3$ bonus ya templer to 3100$ within two weeks currencies though till now nme withdrawl 649$nilikuza from 13usd to 1800usd kwa kutrade vix 75
duh kk usiwe una tabiri though it is the game of probability cha kufanya reduce risk to your comfort level to avaid fear in a long run ukisha ji jengea confidence unaeza ongeza risk but if and only if you have the knowledge inayoweza kukufanya kudumu kwa hili game kwa zaid ya hata miaka kumi! know wich kind of trader ua be consistency do not avoid loss maana loss ndo cost kwenye hii bussness maana every bussness have its cost and no one can can predict the price action of the marketcorrectly all the time asije kudanganya mtu kila mtu anapata loss but ukiwa consistence profit lazima ije izid loss iwe within a month a week! usisahau bro risk what you can afford to lose hii itakusaidia kutokua na emmotions au atleast low levelKwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika
Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
duh kk usiwe una tabiri though it is the game of probability cha kufanya reduce risk to your comfort level to avaid fear in a long run ukisha ji jengea confidence unaeza ongeza risk but if and only if you have the knowledge inayoweza kukufanya kudumu kwa hili game kwa zaid ya hata miaka kumi! know wich kind of trader ua be consistency do not avoid loss maana loss ndo cost kwenye hii bussness maana every bussness have its cost and no one can can predict the price action of the marketcorrectly all the time asije kudanganya mtu kila mtu anapata loss but ukiwa consistence profit lazima ije izid loss iwe within a month a week! usisahau bro risk what you can afford to lose hii itakusaidia kutokua na emmotions au atleast low level