Msaada kuikuza account yangu ya forex

Msaada kuikuza account yangu ya forex

Target yako ni kubwa ila inawezekanika ninaweza kuikuza account yako 250$ kufika dola 1000 ndani ya mwezi kwa kigezo cha kugawana faida 50/50 ukiwa na utayari niambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia sana stop loss na uwe na plan nzuri au your own strategy of trading na kingine cha muhimu zingatia ni muda gani gani wa ku close position ili kutake profit usisubiri mpk upate loss kubwa ukiona tu umepata profit nzuri take it muda huo huo.

Muda mwingine fuatilia matrader nguli ukiona kabuy au kasell naww iga akiclose nww do the same fuatlia watata km wakina sandile kwenye page zao
 
Hiyo namba 3 na 4 ndiyo ujanja wanaotumia akina Ontario na matrader wa south Afrika kuwa millionea!
Yap!!traders wengi hasa wanaoanza trading ambao wana experience ndogo huwa hawazingatii hayo au hata kuyafuatilia ,kingine unakuta mtu ana trade pair hata sita kwa wakati mmoja hapo hana analysis ya hizo pair hata kidogo kitu kinachomuweka kwenye risk side .
 
Tafuta forex simulator hutojuta nzuri kwa backtesting

Pia mfollow jamaa anaitwa Chris kule Instagram Yuko very informative katika Forex market anatumia jina la @forexstratigies

Au @priceactionstrategies pia mfollow jamaa anaitwa Marat mkali wa alliotwave duniani nzima [emoji1787][emoji1787]anatumia jina la @elliotwavecount wafollow ha jamaa ni wazungu wako serious na biashara achna mamentor wa tegeta kwa ndevu[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi

Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika

Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
Weekeza katika elimu kwanza alafu tumaIa lot size ndogo.
Alafu inaonyesha trading plan risk management huna.put TP na SL tokna na analysis yako
 
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi

Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika

Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
Mkuu wekeza kwenye elimu kwanza ujue kipi unakifanya tofauti na hapo utapoteza kila mara mkuu wangu

Lakini hakikisha una broker sahihi anayekupa mazingira mazuri ya kutrade usiweke Leverage kubwa kwa maana kuwa usiwe na broker anayekupa leverage kubwa ambayo inarahisisha kuunguza kwako

Lkn pia kama bado hujaiva vizuri unaweza tumia broker ambae anatoa welcome bonus
https://secure.tickmill.com?utm_cam...ps://tickmill.com/promotions/welcome-account/
 
Jaribu hiyo Welcome account kwa ajili ya kupiga garamba mzee ukiona umekaa poa unaweza kuendelea na acc yako
 
Dola 750 ndani ya mwezi kwa mtaji wa 250$ ni uongo unaowezekana,labda utafute ushauri kwa ref wayne au Sindile shezi,ila kwa traders wa mitaji ya kibongo sijui kama inawezekana! Labda kwa IQ option

Sent using Jamii Forums mobile app
duh mbona una mpotosha mwenzio 250$ ni capital ndefu sana bro kuifikisha 1000$ kwa mwez ni 98% sure as long as unajua unacho kifanya
 
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi

Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60,nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika

Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo
duh kk usiwe una tabiri though it is the game of probability cha kufanya reduce risk to your comfort level to avaid fear in a long run ukisha ji jengea confidence unaeza ongeza risk but if and only if you have the knowledge inayoweza kukufanya kudumu kwa hili game kwa zaid ya hata miaka kumi! know wich kind of trader ua be consistency do not avoid loss maana loss ndo cost kwenye hii bussness maana every bussness have its cost and no one can can predict the price action of the marketcorrectly all the time asije kudanganya mtu kila mtu anapata loss but ukiwa consistence profit lazima ije izid loss iwe within a month a week! usisahau bro risk what you can afford to lose hii itakusaidia kutokua na emmotions au atleast low level
 
To give what you can afford to loose.! Maelezo yako yapo sawa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom