Msaada kujaza fomu ya passport online

Msaada kujaza fomu ya passport online

Fomu zilivyotengenezwa ni lazima ujaze sababu ya safari yako kwenye mfumo. Aliyetengeneza mfumo alitakiwa kuweka options zaidi ya mwanafunzi, mfanyabiashara au mtumishi wa Serikali... Mfano mtanzania anawaza kwenda nje ya nchi kutalii pia.

Hapo kwenye sababu ya safari jaza Biashara, fomu ikishakamilika na kupokelewa bado kuna hatua ya mahojiano ya ana kwa ana, hapo ndipo unapothibitisha kuwa una uwezo wa kifedha si kumiliki passport tu bali unaweza kumudu gharama zote za safari kama itatokea.

Lakini, kuna sababu gani ya kumiliki passport kama huna mpango wa kusafiri? Kama mpango upo basi anza na nchi zinazotuzunguka ....itakuwa rahisi zaidi.

Kila lenye kheri kwako!.
Akiandika biashara ajiaandae kuonyesha leseni ya biashara ,na TIN hapo ndio wadaiwa wa kodi hushikwa! Aandike tu matembezi halafu kwenye nchi anachagua kenya basi….:
 
Vipi ukipata safar in very short notice, let's assume 2 days notice unatakiwa uende tu hapo Kenya au South Africa!....
Unaweza kujaza emergence pass ya elfu ishirini lakini ukisharudi imekufa lakini kama unataka kwenda south africa lazima utengeneze pass kubwa!!Emergence pass ni kwa nchi za africa mashariki tuuu
 
Ni lazima uwe na safari ndio ufuatilie passport. Ila kama unaitaka na hauna safari unaweza kuipata kwa ujanja ujanja. Tofauti na ujanja ujanja ni lazima uwe na safari.
Sio lazima uwe una safiri bhana..,,.
 
Kama uko serious tafuta hela utafute wenyewe wakuletee passport,acha kupata hizo stress watajaza kila kitu wenyewe 😀😀
 
Akiandika biashara ajiaandae kuonyesha leseni ya biashara ,na TIN hapo ndio wadaiwa wa kodi hushikwa! Aandike tu matembezi halafu kwenye nchi anachagua kenya basi….:
Hata akiandika lengo kuwa ni matembezi, Bado kuna kiunzi cha barua ya mwaliko, tamko la mwajiri au mzazi/mlezi, au bank statement ambayo inathibitisha kuwa na ukwasi. Nchi yetu inafuata mfumo wa nchi za kikomunisti ambapo mienendo ya watu hudhibitiwa. Lengo hasa ni kuwa na sababu ya msingi ya kulazimisha kuwa na pasi ya kusafiria. Gharama za kumiliki pasi hata kama huna safari ni zile zile tu na wakati mwingine hupitiliza.
 
Nakumbuka mimi nilijaza msiba naenda kuzika kenya na mimi ndo dereva waka nipa ukijaza unaenda kusoma basi lazima uwe na document za kwenda kama mualiko tena ndo utapiga sarakasi za kitosha mana watataka barua picha ya kurasa ya mbele ya passport anaekualika bill za mieza kadhaa permit ya muusika so itakusumbua
 
Hata akiandika lengo kuwa ni matembezi, Bado kuna kiunzi cha barua ya mwaliko, tamko la mwajiri au mzazi/mlezi, au bank statement ambayo inathibitisha kuwa na ukwasi. Nchi yeti inafuata mfumo wa nchi za kikomunisti ambapo mienendo ya watu hudhibitiwa. Lengo hasa ni kuwa na sababu ya msingi ya kulazimisha kuwa na pasi ya kusafiria. Gharama za kumiliki pasi hata kama huna safari ni zile zile tu na wakati mwingine hupitiliza.
Kwa nchi za afrika mashariki huna haja ya kuwa na barua ya mualiko mimi naongea ambacho nimefanya na ninauzoefu nacho
 
Kwa nchi za afrika mashariki huna haja ya kuwa na barua ya mualiko mimi naongea ambacho nimefanya na ninauzoefu nacho
Kuna vitu vitatu nimetaja ikiwemo barua ya mwaliko, inaonekana kama si lazima lakini kama huna lazima mpakani watauliza booking ya hotel unayofikia.
 
Vipi ukipata safar in very short notice, let's assume 2 days notice unatakiwa uende tu hapo Kenya au South Africa!....
Utapewa "Emergency Travel Document" ina uhai wa mwaka moja. Baadaye inakuwa rahisi kuomba pasi kubwa.
 
Ni lazima uwe na safari ndio ufuatilie passport. Ila kama unaitaka na hauna safari unaweza kuipata kwa ujanja ujanja. Tofauti na ujanja ujanja ni lazima uwe na safari.
Hatua za ujanja zikoje? 🙏
 
Back
Top Bottom