Wadau poleni na majukumu.
Tangu juzi mfumo wa kujaza online self form kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana 2021 ulipofunguliwa nimejaribu kumjazia kijana wangu ila kuna changamoto naikuta, mara baada ya kumaliza kujaza vipengele vyote nikishafika kile cha mwisho cha C5 Others sioni kile kipengele cha HAKIKI ili niweze kuhakiki na kusubmit fomu.
Badala yake nikibonyexa others inarudi tena mwanzo kwenye My details. Kama kuna mdau yoyote kafanikiwa kufanya machaguo na kusubmit naomba anielekeze jinsi alivyopata kile kipengele cha HAKIKI.
Shukrani.