Msaada kujaza self form

Msaada kujaza self form

kacherema

Senior Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
124
Reaction score
60
Wadau poleni na majukumu.

Tangu juzi mfumo wa kujaza online self form kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana 2021 ulipofunguliwa nimejaribu kumjazia kijana wangu ila kuna changamoto naikuta, mara baada ya kumaliza kujaza vipengele vyote nikishafika kile cha mwisho cha C5 Others sioni kile kipengele cha HAKIKI ili niweze kuhakiki na kusubmit fomu.

Badala yake nikibonyexa others inarudi tena mwanzo kwenye My details. Kama kuna mdau yoyote kafanikiwa kufanya machaguo na kusubmit naomba anielekeze jinsi alivyopata kile kipengele cha HAKIKI.

Shukrani.
 
Mimi nimeshindwa kabisa ku register, inasema information hazi match pamoja na kuweka kwa usahihi. Kuna msaada wowote naweza pata?
 
Mimi nimeshindwa kabisa ku register, inasema information hazi match pamoja na kuweka kwa usahihi. Kuna msaada wowote naweza pata?
Angalia format ulivyoweka index no kama umetenganisha kwa nukta mfano S4068.0005.2021
 
mimi sioni kipengele cha kujaza iyo courses wazee
 
Back
Top Bottom