Asante sana mkuu, nataka hiyo ya mikono kwahiyo niagize mikoani?Yes ya Mikono inafyatua Tofali 4800 kwa siku 11 kwa siku wanafyatua mifuko 10.(Tofali 450)
BAM BAM - YA MIKONO
View attachment 1660139
YA UMEME
View attachment 1660140
Asante sana mkuu, nataka hiyo ya mikono kwahiyo niagize mikoani?
Ninaitaka one-time for nowHata huku zinapatikana ila inatakiwa uwaambie thickness ya chuma kinachotengenezea inatakiwa chuma kinene na sio "CHUMA MPESE MPESE"! Nyingi zile ambazo tayari zimetengenezwa ni famba haziwezi kuhimili mikiki,ila chuma kinene bei yake pia imechangamka kwa DAR!! Kwa Mkoa ni 300k ila huku unaweza kuambiwa 450k.
Ila kama unataka kwa biashara ni nzuri ila kama ni kufyatua tofali onetime ni bora ukodishe tu.
Yaani bora umewajibu hao vijana ambao hawajawai haya kufanya ujenzi wa kibanda cha sungura.Watu mnabwabwaja tu ili muonekane wazee wa viwango, ni aidha mnaishi kwa shemeji hamjui kitu au lengo lenu ni kukatisha tamaa wenzenu!
Mfuko tofali 19!!
Hio ni kama umeamua kupiga tofal zako lakini kibiashara hadi 60 unapiga mchawi majiMfuko mmoja unatoa tofali 35 hadi 40 ila ukiwapa mafundi na wewe ukaondoka atakutolea hadi tofali 50 mwisho yeye ataondoka na cement
Mkuu tofali 45 kwa Mfuko wa Cement hapo ni Biskuti unatengeneza,Upo wapi mkuu?
Kila mfuko mmoja wa cement toa tofali 45...
Achana na ujenzi wa pdf na project za serikalini. Njoo mtaani uone uhalisia wa mambo.Mkuu tofali 45 kwa Mfuko wa Cement hapo ni Biskuti unatengeneza,
Angalau hata Tofali 35 kwa mfuko sio mbaya
BiconMfuko tofali 19 kwani anajenga tank la kuhifadhia maji? 😁!
Nawaza kazi atakayoipata fundi wa Wirering kupiga tindo....Niliendaga holili, moshi nlikuta kuna jamaa wanachana miamba na kwa miamba hiyo wanakata kwa mashine na kutoa tofali
Tofali zipelekwa site zinashushwa zote na tipa ni imara sana
Ova
Tofali za Moramu hizo,chuma chuma ila zina gharama kwenye kuzijenga na kupiga plaster sababu hazina kipimo maalumu cha upana wake.Niliendaga holili, moshi nlikuta kuna jamaa wanachana miamba na kwa miamba hiyo wanakata kwa mashine na kutoa tofali
Tofali zipelekwa site zinashushwa zote na tipa ni imara sana
Ova
Tofali ngumu balaa hizoNawaza kazi atakayoipata fundi wa Wirering kupiga tindo....
Grinder itapiga sana kazi hapo.Nawaza kazi atakayoipata fundi wa Wirering kupiga tindo....
Sana yani lakini kazi ataipata na atabadilisha disc kila dakikaGrinder itapiga sana kazi hapo.
Nimependa makisio haya.On a roughly but serious note:
Kwa hesabu ya tofali 45, kwa tofali 4800 utahitaji simenti mifuko takribani 110. Kwa bei ya 20,000/- kwa mfuko ni 2.2M.
Mchanga kila tripu ikupe tofali 200, utahitaji tripu 24... bei ya mfano ni 50,000/- kila hivyo itakula 1.2M.
Fundi wa kupiga tuseme utamlipa 150 hadi 200 kwa tofali, tuweke 800k.
Jumla kuu ni 2.2M+1.2M+800k = 4.2M.
Hapo bado maji, hatujui kama ni ya kulipia au niaje... na ishu ya kumwagilia hizo tofali sijui itakuwa kwako au kwa mpigaji!
Weka laki hapo ziada ihusishe huduma kama hizo.
Wakati huo, tofali zilizo tayari zinauzwa 1000 hadi 1200.... jumla 4.8M hadi 5.8M sijui kuhusu usafiri.
Piga hesabu utajua kiasi cha kuokoa hapo, na muda wako na usumbufu wa kusimamia na kuhakikisha kazi inafanyika kwa ubora.
Laki tano hadi milioni unaweza kuokoa.
Kumbuka mwaka huu sio wa kupata raha sana.
Yah!nlionana zikiletwa site tipa znazimwaga tu...nkasema yes hizi ni jiwe kweli kweliTofali za Moramu hizo,chuma chuma ila zina gharama kwenye kuzijenga na kupiga plaster sababu hazina kipimo maalumu cha upana wake.
Duh hatari mfuko mmoja tofali 45...hilo tofali au mchanga
42Mfuko mmoja tofalli 45?