Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

Rumi96

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
818
Reaction score
1,975
Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani.

Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea.

Natangauliza shukrani.
 
Sio Siri kazi za Rea projects zimemilikishwa na familia moja.Ndio maana haziishi kila mwaka tenda.Kila tenda DERM yupo ingawaje viporo vingi.Tangu Rea ianze ni walewa Mheshimiwa Makamba, Mheshimiwa Chengerwa kazi kwenu.Miradi ya umeme kero sana.Mawaziri,hata Viongozi wengi wa juu wanajua.Mama Samia matusi I ya watanzania Yako kwako
 
Hata sijakuelewa 🤷
 
we jamaa umekula kweli ? unaelewa ulichotapika hapa ?
 
Sio Siri kazi za Rea projects zimemilikishwa na familia moja.Ndio maana haziishi kila mwaka tenda.Kila tenda DERM yupo ingawaje viporo vingi.Tangu Rea ianze ni walewa Mheshimiwa Makamba, Mheshimiwa Chengerwa kazi kwenu.Miradi ya umeme kero sana.Mawaziri,hata Viongozi wengi wa juu wanajua.Mama Samia matusi I ya watanzania Yako kwako
Ikabidi niigoogle, naona Wana project za maana, za pesa ndefu mpaka za kujenga residential buildings za mabalozi. Kongole kwao!
 
Majamaa wpo vzur hasa commetee inayohusika kuzifwatilia tender. Wanamwaga pesa hswa
 
Duuuh, kwa hiyo kampuni Ina committee maalum ya kufuatilia tenders na kuhakikisha wanaipata!

Tender ikitangazwa tuuu, lazima wajue pa kutokea na baada ya submission tu ya tender timu inaongez jitihada.
Niliwahi sikia kua boss wao anahskikisha hyo comiteuna 200m account ya kusukuma tender iwe mikononi mwao
Na hizi habar tulizipata baada ya kuona na sisi kwetu imekua ngumu kutoboa
 
Nyie mkashindwa kurefusha mikono
 
Nyie mkashindwa kurefusha mikono
Mwenye kampuni akigoma kurefusha hatuna la kufanya isipokua kuhakikisha tunaeka reasonbl price plus tuna submit kwa wkati na kueka every required document mengin zali japo na sisi nyuma tulitamba now hamna kitu
 
Mkuu, naweza fahamu aliyepewa tender tajwa hapo juu? Na mkataba
 
Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani.

Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea.

Natangauliza shukrani.
Nitafute kama huko serious nikupe sub ya Rea mahali kuwa serious tu na uwe na uwezo.
 
Back
Top Bottom