Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

Msaada kujua tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa client gani.

Mwenye kampuni akigoma kurefusha hatuna la kufanya isipokua kuhakikisha tunaeka reasonbl price plus tuna submit kwa wkati na kueka every required document mengin zali japo na sisi nyuma tulitamba now hamna kitu
Kwa namna hii nchi ilivyo, kila mtu anatafuta kula. Lobbying muhimu
 
Sio Siri kazi za Rea projects zimemilikishwa na familia moja.Ndio maana haziishi kila mwaka tenda.Kila tenda DERM yupo ingawaje viporo vingi.Tangu Rea ianze ni walewa Mheshimiwa Makamba, Mheshimiwa Chengerwa kazi kwenu.Miradi ya umeme kero sana.Mawaziri,hata Viongozi wengi wa juu wanajua.Mama Samia matusi I ya watanzania Yako kwako
Contractor NAMIS anaupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom