Msaada kujua title ya movie hii

Pua ya zege

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
1,941
Reaction score
2,081
Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya.

Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila kujua alienda kufumania lodge ghorofani kwa taharuki Yule kijana alianguka toka juu ya ngazi za ghorofa mpaka ground floor akafa, yule mzee alishuka chini akiwa uchi kwa kuchanganyikiwa na kulia sana yule dada akapita katikati yao na kusepa lile sakata likafika kazini kwa yule mzee akafukuzwa kazini tafadhali naomba mwenye kujua title ya hii movie, nawasilisha.
 
Mwenye kujua tafadhali
 
Hata Mimi niliwahi Iona ila sikumbuki jina lake! Inasikitisha sana yule mzee alipo mwona mtoto kafa alilia sana then yule dada akapita katikati Yao kama ajui chochote akaenda zake!
 
Hata Mimi niliwahi Iona ila sikumbuki jina lake! Inasikitisha sana yule mzee alipo mwona mtoto kafa alilia sana then yule dada akapita katikati Yao kama ajui chochote akaenda zake!
Dah ndiyo hiyo hiyo Mkuu mwishoni Yule Mzee alifukuzwa kazi akawaanaishi maisha ya kifukara sana tusaidiane kutafuta ndugu yangu uwenda ukakukumbuka
 
Hata Mimi naitafuta sana hii movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…