Hiyo mimba "inawezekana" ni ya mtu mwingine, ila kaona akusaikizie wewe 🤣🤣. Hapo kuna sababu 7 zinazomfanya akusakizie
1. Itakuwa yeye mwenyewe hajui mimba ni ya nani, akaona akusakizie wewe 🤣
2. Itakuwa anamjua mwenye mimba ila kakataa mazima, akaona akusakizie wewe 🤣
3. Itakuwa anamjua mwenye mimba ila kaona ni maskini wa kipato na hana hadhi, na wewe pesa unayo na hadhi unayo, akaona akusakizie wewe 🤣
4. Itakuwa anamjua mwenye mimba na kaikataa ila kaona wewe ni mtu mpole sana, akaona akusakizie wewe 🤣
5. Itakuwa anamjua mwenye mimba ila huyo mwenye mimba ni mtu asie na connection na yeye au ndugu, kwa hiyo kwa jicho langu la tatu lazima huyo binti atakusokomeza kwa ndugu zake mapeeemaaaaa ili utoe matumizi au uoe kwahiyo, akaona akusakizie wewe 🤣
5. Itakuwa ulikuwa kwenye ligi ya ushindani na wanaume wengine, sasa wengine wakashida kutokana na kukuzidi vigezo vingine mfano, uwezo wa kuhonga hela, uwezo wa kumtreat mwanamke vizuri, uwezo wa kutia saundi, uwezo wa kutiana, uhendisamu na uvaaji Sasa katika hiyo ligi kwa bahati mbaya akashika mimba ya timu pinzani, ila kutokana na wewe una "hadhi" fulani, akaona akusakizie wewe 🤣
6. Itakuwa yeye mwenyewe anajua mimba ya mtu mwingine, ila kwakuwa anajua wewe ni mtu mwenye upwiru wa karibu, na huyo binti labda ni mzuri mfano: mweupe, ni modo au ana tako KUBWA, anajuwa wewe utamtaka tu anaona wewe ndio mtu rahisi kumtaka kumla kutokana na uzuri wake na wewe una "hadhi", akaona akusakizie wewe 🤣
7. Itakuwa binti kajikatia tamaa ya maisha na huku ana mimba na wewe una "hadhi" fulani, akaona akusakizie wewe 🤣
Cha msingi ufanye hesabu ya tarehe za kukulana mpaka umri wa mimba. Ukiona hazijakaa sawa jua sio wako. Ukiona zimekaa sawa jua tu kaona akupe k siku ya hatari makusudi ili abebe mimba ambayo kutokana na wewe una "hadhi" fulani, utalea tu.
Naomba kuwasilisha.
Ova