Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu eaone wataalamu haraka Sana.isije ikwa ndui ya kuku.ikakumalizia kuku wako woteJamani kuna ugonjwa umeingia hapa kwangu kuku hasa vifaranga kutokwa na manundu machoni ambayo husababisha macho kufunga na kutoona kabisa.wakuu nitumie dawa gani?
Jamani kuna ugonjwa umeingia hapa kwangu kuku hasa vifaranga kutokwa na manundu machoni ambayo husababisha macho kufunga na kutoona kabisa.wakuu nitumie dawa gani?
Mkuu me mwenyewe Kuku wangu anatatizo hili, jicho lake limefunga na lilikuwa likitoa maji, nini tatizo?Mbali na macho kufunga na kutokwa manundu je, wanatoa machoz/majimaji yenye rangi nyeupe kama sabuni??
Kama ndivyo huo ugonjwa unasababishawa na upungufu wa vitamin A je, hua unawapa vitamni kuku wako?
Heb nijibu maswal haya kwanza ndipo tuendelee na matibabu!!
Mimi ni mtaalam wa kilimo na mifugo usisite kuuliza chochote!!