Msaada kuku kuvimba machoni

Msaada kuku kuvimba machoni

kiteni

Member
Joined
May 5, 2015
Posts
49
Reaction score
5
Jamani kuna ugonjwa umeingia hapa kwangu kuku hasa vifaranga kutokwa na manundu machoni ambayo husababisha macho kufunga na kutoona kabisa.

Wakuu nitumie dawa gani?
 
Dawa yake ikatae ccm, kwani ni ugonjwa hatari sana, ondoa masalia yote ya ccm ndani ya nyumba, fagia na kusanya takataka zote ccm ndani ya nyumba yako na uzichome moto, kama mbali na usuruhusu kuku wako wengine kuchangamana na ccm, NB kaa mbali na oogopa sana ccm kwani ni ugonjwa hatari sana watakufirisi na kukuacha masikini
 
Wana umri gani vifaranga hao? Nahisi hiyo ni ndui. Naogopa sijawahi kusikia dawa ya ndui bali kama unaweza kusafisha vidonda na kuvipaka dawa ya eye and wound na kuwapa antibiotics.

Hiyo si dawa ya ndui bali inasaidia kushughulikia vidonda.
 
Jamani kuna ugonjwa umeingia hapa kwangu kuku hasa vifaranga kutokwa na manundu machoni ambayo husababisha macho kufunga na kutoona kabisa.wakuu nitumie dawa gani?
Hebu eaone wataalamu haraka Sana.isije ikwa ndui ya kuku.ikakumalizia kuku wako wote
 
Jamani kuna ugonjwa umeingia hapa kwangu kuku hasa vifaranga kutokwa na manundu machoni ambayo husababisha macho kufunga na kutoona kabisa.wakuu nitumie dawa gani?

Mbali na macho kufunga na kutokwa manundu je, wanatoa machoz/majimaji yenye rangi nyeupe kama sabuni??
Kama ndivyo huo ugonjwa unasababishawa na upungufu wa vitamin A je, hua unawapa vitamni kuku wako?
Heb nijibu maswal haya kwanza ndipo tuendelee na matibabu!
Mimi ni mtaalam wa kilimo na mifugo usisite kuuliza chochote!
 
Mbali na macho kufunga na kutokwa manundu je, wanatoa machoz/majimaji yenye rangi nyeupe kama sabuni??
Kama ndivyo huo ugonjwa unasababishawa na upungufu wa vitamin A je, hua unawapa vitamni kuku wako?
Heb nijibu maswal haya kwanza ndipo tuendelee na matibabu!!
Mimi ni mtaalam wa kilimo na mifugo usisite kuuliza chochote!!
Mkuu me mwenyewe Kuku wangu anatatizo hili, jicho lake limefunga na lilikuwa likitoa maji, nini tatizo?
 
hyo ni ndui dawa ya haraka ni kuyabandua na kuwapaka iodine ile dawa ya kukausha vidonda kama wamefikia stage mbaya wachinje uuze watakufa ila ukiwabandua usiwaonee huruma we bandua paka iodine au mafuta taa japo iodine ndo salama kwa shida zaidi nipigie
 
Back
Top Bottom