Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

Mmmh Nina wasiwasi na huu uzi usije kuwa promo
Sijakuelewa Mkuu! Promo!?!?! Mtu kuomba msaada na promo wapi na wapi!?! Kizuri mtu mwenyewe kashapata alichohitaji, ki ukweli mimi binafsi nimefarijika huenda ikawa ndo starting point yake ya kusonga mbele!

Kama ninayoyawaza juu ya comment yako ni sahihi, basi wewe utakuwa miongoni mwa wale ambao wakiombwa msaada hata na ndugu wakufanyia vitu vya msingi mfano Ada ya Shule au mtaji HAMTOI kwa visingizio vingi, lakini mtu huyo huyo ukienda baa unazungusha round na kugawa chenji kwa mabaamedi!

Kuna msemo usemao kutoa ni moyo wala si utajiri but mimi nadhani kuwa na moyo wa kutoa na kusaidia wengine ni utajiri tosha!
 
Mkuu YouTube, hongera kwa kupata sponsorship from Ontario the CEO himself.

We are on the same shoes. If the things unfold on forex ukatoboa, nikumbuke kunisponsor namimi kwenye training. Kama itakupendeza.

All the best of luck.

-Kaveli-
 
Watanzania watu tumekuwa na roho mbaya sana kiasi kwamba mtu akitokea mwenye moyo wa kutoa alichonacho anaonekana mbaya. Changing the world begins with you boss!!
Wasamehe bure, taratibu taratibu watanzania wa aina hiyo watabadilika. Usife moyo wala kuvunjika moyo, sababu ya hao watu wachache.
 
Jembekillo: Huwa naamini wabongo wengi ni wachawi, ukiona mtu anafurahia matatizo ya mwenzake/ anachukia mafanikio ya mwenzake jua huyo ni mchawi labda bado hajaanza kushika tunguli tu. Big up ONTARIO kwa ulichokileta nchini....expensive is becoming cheap since i joined TMT.
 
HajapTa kazj au unachagua kazi njo unisaidie kulisha nguruwe huku kigoma uache kuomba omba kama matonya salary 50000 unifundishie nguruwe wangu hiyo IT yako
 
Naangalia Picha litaisha vipi.Tutapata mrejesho tu mwisho wa safari,wewe huna kitu then unataka kumpelekea mwanaume mwenzio 130 duuu!then dola 100,braza fikirisha kichwa.Iyo pesa ukimpa Mpambanaji ndani ya Mwaka anabadilika.Ila si lazima kuchukua ushauri huu.
 
Naangalia Picha litaisha vipi.Tutapata mrejesho tu mwisho wa safari,wewe huna kitu then unataka kumpelekea mwanaume mwenzio 130 duuu!then dola 100,braza fikirisha kichwa.Iyo pesa ukimpa Mpambanaji ndani ya Mwaka anabadilika.Ila si lazima kuchukua ushauri huu.

Ni kweli kabisa sababu hata ushauri wenyewe ni takataka.
 
Hivi mkuu Ontario na Mimi mwenye pungufu utanisaidiaje ? Kuna hiyo forex part 2 inayotaka kufanyika mwanza nilikosa part one kwa sababu ya upungufu wa hela Nina elf 75 tu,embu sema neno moja2 na roho yangu itapona
 
Boss njoo ofisini Jumatatu kabla ya saa 4 unione... mwambie secretary nimekupa appointment, kabla haujaingia darasani tuonane tupige story boss. Where there's no vision, there's no hope.
We jamaa una moyo sana sijawahi ona mungu akubariki na akuongezee mazuri mengi zaidi na zaidi.
Laiti kama watanzania wote tungekuwa na moyo kama wako.
 
Day 3

Training is awesome !

Thank you ONTARIO !
WP_20171025_001.jpg


Kaveli nimekusoma mkuu,
when things unfold I will definitey do like I wrote above ,
and definitely you will be the person.
 
Boss njoo ofisini Jumatatu kabla ya saa 4 unione... mwambie secretary nimekupa appointment, kabla haujaingia darasani tuonane tupige story boss. Where there's no vision, there's no hope.
ni waajabu kila dakika BRO naamini baada ya kubezwa na kukatishwa tamaa kuna kiti utakaa, embu sasa tuambie DAR ES SALAA, LINI TENA MAANA WENGINE KUTOKANA NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE TUMEKOSA EMBU TUPE TAREHE MAPEMA ILI TUWEZE KUJUA MAPEMA NA TUPANGE RATIBA MAPEMA.

SALUTE BOSS
 
Back
Top Bottom