Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Sijakuelewa Mkuu! Promo!?!?! Mtu kuomba msaada na promo wapi na wapi!?! Kizuri mtu mwenyewe kashapata alichohitaji, ki ukweli mimi binafsi nimefarijika huenda ikawa ndo starting point yake ya kusonga mbele!Mmmh Nina wasiwasi na huu uzi usije kuwa promo
Kama ninayoyawaza juu ya comment yako ni sahihi, basi wewe utakuwa miongoni mwa wale ambao wakiombwa msaada hata na ndugu wakufanyia vitu vya msingi mfano Ada ya Shule au mtaji HAMTOI kwa visingizio vingi, lakini mtu huyo huyo ukienda baa unazungusha round na kugawa chenji kwa mabaamedi!
Kuna msemo usemao kutoa ni moyo wala si utajiri but mimi nadhani kuwa na moyo wa kutoa na kusaidia wengine ni utajiri tosha!