Msaada: Kuna dada ana shida ya kutopata mtoto

Msaada: Kuna dada ana shida ya kutopata mtoto

Mafikizolo

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
3,487
Reaction score
1,625
Za Friday wa Dau!!

Kuna dada mmoja ana shida ya kutopata mtoto,ameshafanyiwa vipimo na hakuonekana na matatizo yoyote katika mirija ya uzazi na hata mayai yake ameambiwa yako vizuri, lakini cha ajabu ni kwamba hawezi kushika mimba.

Ameshahangaika katika mahospital mengi na majibu anayoyapata ni kuwa yuko safi anaweza kushika mimba lakini kashajaribu mara kadhaa na ikashindikana kushika mimba sasa ameshakata tamaa maana na umri nao ndo unasogea.

Kwa yoyote anayejua tatizo au suluhisho pls msaada wako unahitajika.


cc MziziMkavu na wengine
 
Pole yake jmn,uvumilivu ni kitu cha muhim aendelee kusubir kwan kila jambo na wakat wake,ipo cku atapata.MUNGU atamsaidia!
 
Pole yake jmn,uvumilivu ni kitu cha muhim aendelee kusubir kwan kila jambo na wakat wake,ipo cku atapata as long as hana matatizo.MUNGU atamsaidia!..ameolewa?hyo anaetaka zaa nae amepima pia?
 
Yah aliye taka zaa naye alipima na yeye alikua sawa
Pole yake jmn,uvumilivu ni kitu cha muhim aendelee kusubir kwan kila jambo na wakat wake,ipo cku atapata as long as hana matatizo.MUNGU atamsaidia!..ameolewa?hyo anaetaka zaa nae amepima pia?
 
Nina tiba na njia ya kumfungua kizazi,
ila aweke ahadi akishafanikiwa atarudisha shukrani.
 
Polen kwa ndugu kwa tatizo hilo. Katika maelezo yako unasema ndugu yako amehangaika kupimwa na ripoti zinaonesha yupo safi. Je mume wake amepima kama ana uwezo wa kurutubisha mbegu za kike? Pia tufahamu kwamba si kila mwanaume mwenye kutoa shahawa/ ejaculate anaweza kurutubisha mbegu za kike ndo kinachoitwa mimba! Ajaribu hivyo kama hataki kupima basi yeye ni tatizo atafute utaratibu mwingine. Ila kama mume naye yu mzima basi wajikumbushe historia zao katika maswala ya kimila! Pia wapate ushauri wa wataalamu wa maswala ya kisaikolojia. Pia wasipuuze tiba mbadala!
 
Inashangaza sana vijana wa siku hizi wwnataka kuzaa bila kut.mbana...weww siku zote uko bize na kazi mwanaume unakutana nae kwa mwe ×1 usiposhika mimba unaenda hosp kupima!.. si anataka mimba? Achukue likizo ya mwez mzima aje kujifungia na mm nimpige kazi.si shida yake mimba? Anitafute nimpe mimba.nina hakika nitampa ila akubali kusulubika kwani nitahakikisha nampiga staili zote za kutafuta mtoto ndani ya mwezi hataona siku zake tena..anitafute!
 
mume anae anataka mimba kwa miujiza?ikiwa hana anitafute maana mimi bingwa hapa wakuziingiza hizo mimba....
 
Back
Top Bottom