Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,625
Za Friday wa Dau!!
Kuna dada mmoja ana shida ya kutopata mtoto,ameshafanyiwa vipimo na hakuonekana na matatizo yoyote katika mirija ya uzazi na hata mayai yake ameambiwa yako vizuri, lakini cha ajabu ni kwamba hawezi kushika mimba.
Ameshahangaika katika mahospital mengi na majibu anayoyapata ni kuwa yuko safi anaweza kushika mimba lakini kashajaribu mara kadhaa na ikashindikana kushika mimba sasa ameshakata tamaa maana na umri nao ndo unasogea.
Kwa yoyote anayejua tatizo au suluhisho pls msaada wako unahitajika.
cc MziziMkavu na wengine