Msaada: Kuna Mume kapigwa na kitu kizito, naomba tuwashauri

Huyo mwanaume mpumbavu
 
Waache wadeal na ndoa yao wenyewe. Ila huyo jamaa nae kilaza, analaumu kwa lipi sasa?
 
Kwanza tusawazishe uongo namba moja "ati alipandikizwa mimba na sperm donor" SISI SIO WATOTO WADOGO, ALITOMBW*A NA BWANA MWINGINE, wanawake kwa kuteteana bwana.
 
Mke kasema kapandikiza hiyo mimba kwa kutumia sperms za unkown sperm donner. Shida hapa mme anamlaumu mke eti kamchanganyia damu. Kumbuka huyu mme alimuacha huyu mama kwa matusi. Ingawa hakukuwa na talaka rasmi.
Wanawake ni hopeless kabisa! Alishindwa kuweka wazi kwamba anahitaji mtoto tena?

Jamaa asingeweza kukataa! Sijui huwa kuna Raha gani kuwa na watoto kadhaa kila mmoja na Baba yake au na mama yake? Na unakuta wazazi wote wapo hai!
 
Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Mke kasema kapandikiza hiyo mimba kwa kutumia sperms za unkown sperm donner. Shida hapa mme anamlaumu mke eti kamchanganyia damu. Kumbuka huyu mme alimuacha huyu mama kwa matusi. Ingawa hakukuwa na talaka rasmi.
Kuna possibility kubwa huyo amepata mimba kwa mwanaume mwingine, kuna factors za kuangalia mpaka aamue kufuata sperms:
1. Ana shida ya kupata MTU wa kumkula? (Kama hana shida na yupo uingereza kwenye kila aina ya species, si ilikuwa issue ya kujichagulia tu,anapata raha ya sex na mimba anapata!
2. Ana matatizo ya uzazi? Mara nyingi watu wanaopandikizwa mimba wanakuwa wamejaribu njia za kawaida bila mafanikio(mfano DAUDI ALBERT BASHITE) sasa huyo kama hana changamoto yoyote hai-sound sana kuwa aliibeba mimba kwa kupandikizwa...
3. Sijui nimesahauje, nikikumbuka nitarudi tena.......
 

Hapa tumekosa vitumbua tu, chai ina viungo vyote
 
Anasema hakutaka mwanae awe na baba anaejulikana na ndo maana akawekewa sperm kutoka bank ya sperms kwa donors waliotoa under X.Yaani hawakutaka wajulikane .
 
Victoire I'm assessing suck kind of scenario.

Kuna binti yuko Tanzania, mbali na mimi, nataka nimwambie aendelee na maisha yake na mimi nifanye mpango wa familia mpya, ila bado moyo unakataa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…