Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanaume mpumbavuIko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania.
Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia kuwa hamtaki tena na huyo mke anaweza endelea na maisha yake.
Mke alichanganyikiwa ila mme alisimamia msimamo wake. Basi ikabidi mke aikubali hiyo situation.
Hapo ilikuwa katikati ya 2020.Mke alihitaji mtoto mwingine hivyo akaamua kwenda kupandikiza mimba ya sperm donner asiyejulikana.
Maisha haya jamani. Kumbuka mme alimuacha huyu mke kwa matusi na udhalilishaji ingawa hawakupeana talaka rasmi.
Bwana we 2022. Mme yakamfika hapa. Akaamua kwenda UK kumuona mke na watoto. Si akakuta mwanamke ana Mimbaaaaa.
Mwanaume alidata. Hapa ndo patamu ilibidi mwanaume ageuze kurudi Dar eti akimlaumu mke why kabeba mimba ya mtu mwingine?
Tuwasaidieje hawa jamani hasa mwanaume. Maana alimuacha mwenzake kwa matusi leo analia jamoooni.
Wana MMU najua mnabusara tuwasaidie hawa jamani kiushauri.
Waache wadeal na ndoa yao wenyewe. Ila huyo jamaa nae kilaza, analaumu kwa lipi sasa?Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania.
Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia kuwa hamtaki tena na huyo mke anaweza endelea na maisha yake.
Mke alichanganyikiwa ila mme alisimamia msimamo wake. Basi ikabidi mke aikubali hiyo situation.
Hapo ilikuwa katikati ya 2020.Mke alihitaji mtoto mwingine hivyo akaamua kwenda kupandikiza mimba ya sperm donner asiyejulikana.
Maisha haya jamani. Kumbuka mme alimuacha huyu mke kwa matusi na udhalilishaji ingawa hawakupeana talaka rasmi.
Bwana we 2022. Mme yakamfika hapa. Akaamua kwenda UK kumuona mke na watoto. Si akakuta mwanamke ana Mimbaaaaa.
Mwanaume alidata. Hapa ndo patamu ilibidi mwanaume ageuze kurudi Dar eti akimlaumu mke why kabeba mimba ya mtu mwingine?
Tuwasaidieje hawa jamani hasa mwanaume. Maana alimuacha mwenzake kwa matusi leo analia jamoooni.
Wana MMU najua mnabusara tuwasaidie hawa jamani kiushauri.
Kwanza tusawazishe uongo namba moja "ati alipandikizwa mimba na sperm donor" SISI SIO WATOTO WADOGO, ALITOMBW*A NA BWANA MWINGINE, wanawake kwa kuteteana bwana.Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania.
Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia kuwa hamtaki tena na huyo mke anaweza endelea na maisha yake.
Mke alichanganyikiwa ila mme alisimamia msimamo wake. Basi ikabidi mke aikubali hiyo situation.
Hapo ilikuwa katikati ya 2020.Mke alihitaji mtoto mwingine hivyo akaamua kwenda kupandikiza mimba ya sperm donner asiyejulikana.
Maisha haya jamani. Kumbuka mme alimuacha huyu mke kwa matusi na udhalilishaji ingawa hawakupeana talaka rasmi.
Bwana we 2022. Mme yakamfika hapa. Akaamua kwenda UK kumuona mke na watoto. Si akakuta mwanamke ana Mimbaaaaa.
Mwanaume alidata. Hapa ndo patamu ilibidi mwanaume ageuze kurudi Dar eti akimlaumu mke why kabeba mimba ya mtu mwingine?
Tuwasaidieje hawa jamani hasa mwanaume. Maana alimuacha mwenzake kwa matusi leo analia jamoooni.
Wana MMU najua mnabusara tuwasaidie hawa jamani kiushauri.
Wanawake ni hopeless kabisa! Alishindwa kuweka wazi kwamba anahitaji mtoto tena?Mke kasema kapandikiza hiyo mimba kwa kutumia sperms za unkown sperm donner. Shida hapa mme anamlaumu mke eti kamchanganyia damu. Kumbuka huyu mme alimuacha huyu mama kwa matusi. Ingawa hakukuwa na talaka rasmi.
huyo mme alikwenda kupasha kiporo tu. Baada ya kukuta ana mimba katumia kama kisingizio ili kujisafisha kwa jinsi alivyomtenda mkewe. Hapa anachojaribu kufanya ni kumvisha mkewe makosa yake.Tatizo mme anajiona ndo victim.
Kuna possibility kubwa huyo amepata mimba kwa mwanaume mwingine, kuna factors za kuangalia mpaka aamue kufuata sperms:Mke kasema kapandikiza hiyo mimba kwa kutumia sperms za unkown sperm donner. Shida hapa mme anamlaumu mke eti kamchanganyia damu. Kumbuka huyu mme alimuacha huyu mama kwa matusi. Ingawa hakukuwa na talaka rasmi.
Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania.
Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia kuwa hamtaki tena na huyo mke anaweza endelea na maisha yake.
Mke alichanganyikiwa ila mme alisimamia msimamo wake. Basi ikabidi mke aikubali hiyo situation.
Hapo ilikuwa katikati ya 2020.Mke alihitaji mtoto mwingine hivyo akaamua kwenda kupandikiza mimba ya sperm donner asiyejulikana.
Maisha haya jamani. Kumbuka mme alimuacha huyu mke kwa matusi na udhalilishaji ingawa hawakupeana talaka rasmi.
Bwana we 2022. Mme yakamfika hapa. Akaamua kwenda UK kumuona mke na watoto. Si akakuta mwanamke ana Mimbaaaaa.
Mwanaume alidata. Hapa ndo patamu ilibidi mwanaume ageuze kurudi Dar eti akimlaumu mke why kabeba mimba ya mtu mwingine?
Tuwasaidieje hawa jamani hasa mwanaume. Maana alimuacha mwenzake kwa matusi leo analia jamoooni.
Wana MMU najua mnabusara tuwasaidie hawa jamani kiushauri.
Anasema hakutaka mwanae awe na baba anaejulikana na ndo maana akawekewa sperm kutoka bank ya sperms kwa donors waliotoa under X.Yaani hawakutaka wajulikane .Kuna possibility kubwa huyo amepata mimba kwa mwanaume mwingine, kuna factors za kuangalia mpaka aamue kufuata sperms:
1. Ana shida ya kupata MTU wa kumkula? (Kama hana shida na yupo uingereza kwenye kila aina ya species, si ilikuwa issue ya kujichagulia tu,anapata raha ya sex na mimba anapata!
2. Ana matatizo ya uzazi? Mara nyingi watu wanaopandikizwa mimba wanakuwa wamejaribu njia za kawaida bila mafanikio(mfano DAUDI ALBERT BASHITE) sasa huyo kama hana changamoto yoyote hai-sound sana kuwa aliibeba mimba kwa kupandikizwa...
3. Sijui nimesahauje, nikikumbuka nitarudi tena.......