Msaada kung'oa jino la juu limetoboka au kama Kuna njia nyingine ya kulitibu nakaribisha

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari za usiku huu,

Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa natafunia upende mmoja wa kulia kwa miaka sasa ila shida iliopo nikilitafunia kitu kwa bahati mbaya mtafuno mmoja tu basi nahisi kama nimepigwa na shot ya umeme au nyundo upande huo
 
Habari za usiku huu

Pole sana.

Nenda hospitalini ukaonane na daktari wa kinywa na meno akufanyie uchunguzi na utapata matibabu sahihi.
Kila lakheri!
 
Habari za usiku huu,

Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa natafunia upende mmoja wa kulia kwa miaka sasa ila shida iliopo nikilitafunia kitu kwa bahati mbaya mtafuno mmoja tu basi nahisi kama nimepigwa na shot ya umeme au nyundo upande huo
Pole, Matibabu ya jino lililotoboka yapo unaweza fika Clinic kwetu iwapo upo Dar es salaam au Pwani tutakusaidia unaweza wasiliana nami, iwapo upo nje ya mkoa fika hospital utatibiwa .
 
Back
Top Bottom