Msaada: Kuondoa Harufu ya Sigara kwenye Gari

Msaada: Kuondoa Harufu ya Sigara kwenye Gari

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Hello wana JF,

Nimeagiza gari second hand toka Japan. Ni gari nzuri na inaonekana kutunzwa vizuri, isipokua mmiliki wake inaonekana alikua ni mvuta sigara sana.

Kwa mwonekano, ndani ni safi sana, ingawa harufu ya sigara sijaweza kupata ufumbuzi wa kuitoa.

Nimejaribu regular car wash, kutumia manukato n.k, lakini bado harufu ya sigara ni kali.

Ni kali kiasi kwamba, ukikaa ndani ya gari kwa kama lisaa limoja, ukitoka, mtu anaweza kudhan unavuta sigara. Nguo zinakua na kiharufu cha sigara kwa mbali.

Kwa mwenye experience, naomba ushauri.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna videos nyingi youtube zinaonesha jinsi ya kuondoa hiyo harufu. Angalia yenye viewers na likes nyingi
Pitia comments utapata jibu! Kuna njia nyingi kweli.. Jaribu uone andika "How to remove cigarette odor from the car permanently "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechek, sema suggested products ni mpaka niagize, hapa kwetu hazipatikani. Home remedies nimejaribu bila mafanikio mazuri
 
Nimechek, sema suggested products ni mpaka niagize, hapa kwetu hazipatikani. Home remedies nimejaribu bila mafanikio mazuri
Sawa. Unaweza kutumia Jumia au ali Express unaagiza inakuja ndani ya muda mfupi sanaa.. na bei ni rahisi, kama huna cc cheki mtu mwenye nayo akuagizie.. Jumia nahisi wanakuletea had home, ali ndo unaifata posta apo. Sio kazi ngumu ata kama unavohisi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza au badilisha hilo gari kwa mvuta sigara.
Ukiendelea kulitumia nawe very soon utakuwa mvita sigara na pia bangi!
 
acha fiksi wewe hakuna harufu ya sigara inakaa muda wote huo wacha kua ya Japan hata ingekua bange za arusha muda umeagiza mpaka ifike imeisha
 
Back
Top Bottom