Ramthods
JF-Expert Member
- Jun 2, 2009
- 515
- 187
Hello wana JF,
Nimeagiza gari second hand toka Japan. Ni gari nzuri na inaonekana kutunzwa vizuri, isipokua mmiliki wake inaonekana alikua ni mvuta sigara sana.
Kwa mwonekano, ndani ni safi sana, ingawa harufu ya sigara sijaweza kupata ufumbuzi wa kuitoa.
Nimejaribu regular car wash, kutumia manukato n.k, lakini bado harufu ya sigara ni kali.
Ni kali kiasi kwamba, ukikaa ndani ya gari kwa kama lisaa limoja, ukitoka, mtu anaweza kudhan unavuta sigara. Nguo zinakua na kiharufu cha sigara kwa mbali.
Kwa mwenye experience, naomba ushauri.
Natanguliza shukrani.