Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Nina sababu za msingi sanaSubiria wataalam waje...ila kwa nini unafanya hivyo mkuu
ooouh sawa mkuuNina sababu za msingi sana
Mkuu, ebu shusha nondo kidogo, ningependa kujua hiyo makinikiaHuwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
Mkuu, ebu shusha nondo kidogo, ningependa kujua hiyo makinikia
ndio nataka kusogeza mbele kilometres, hebu fafanua jinsi inavyofanywaHuwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
ndio nataka kusogeza mbele kilometres, hebu fafanua jinsi inavyofanywa
Mkuu sio kweli km zinarudishwa na kupelekwa mbele mkuu.Huwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
Mkuu ni gari aina gani unataka kufanya.hivyoo na je inatumia.cluster ya aina gani digital or analog?Habari wanajamvi
Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars).
Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm ninaomba kuelekezwa jinsi ya kuongeza kilometres( Nina sababu zangu)
Kwa anayefahamu ninaomba sana kuelekezwa.
Natanguliza shukrani
gari ni verossa, cluster ni digital!nipe maarifaMkuu ni gari aina gani unataka kufanya.hivyoo na je inatumia.cluster ya aina gani digital or analog?
Kama cluster ya digital unahitaji mashine maalum ya kufanyia.shughuli hiyo au inatakiwa uwe na eeprom socket,adapter then uwe na softwere kama ya ponyprog.
Kama cluster ni ya digital nambie nikupe maalifa na elimu zaidi kuweza kufanikisha zoezi lako.
Na kama cluster yako ni ya analog basi ni kitendo kirahisi sana.hapo kuna njia mbili kufungua dash board au kutolifungua.
Toa jibu cluster yako ni digital or analog ili upewe majibu mubashara
Unauelewa kidogo na ufundi mkuu.gari ni verossa, cluster ni digital!nipe maarifa
Kama huna nitafute mm
Huwezi rudisha nyuma mileage ila unaweza sogeza mbele wanatumia DC motor [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wana conect kwnye gear shift pale kuna wataalam wa umeme wanafanya hvo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mafundi kwa kuchangamkia fursa ni noma.
Habari wanajamvi
Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars).
Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm ninaomba kuelekezwa jinsi ya kuongeza kilometres( Nina sababu zangu)
Kwa anayefahamu ninaomba sana kuelekezwa.
Natanguliza shukrani