Msaada: Kuongeza kilometres kwenye gari

Msaada: Kuongeza kilometres kwenye gari

Sasa ninyi mnaomshauri akanyagie ecceralatot ndo mnamshauri nini? Mwenzenu anataka aongeze mileage akiwa amekaa tu, yaani hesabu ya mafuta iendelee kusoma kwa Km afu yeye amekaa tu anakula kiulaini, msaidieni huyu dereva ana hali ngumu ya maisha, Magu amebana.

Mi nakushauri mkuu, kama mbinu zote zikishindikana pandisha gari juu then zungusha tyre kwa mkono hadi zifike Mileage unazotaka. Au design mkanda unauunganisha kwa biaskeli na gurudumu then unapiga pedal.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom