Msaada: Kuongeza kilometres kwenye gari

Uongo najua magari
 
Nop asifungue dash atafte mtu mwenyewe lipt machine wanazo sana wauzaji wa magari kam yupo A town anicheki 0763488123 mpunga mbele
 
Nop asifungue dash atafte mtu mwenyewe lipt machine wanazo sana wauzaji wa magari kam yupo A town anicheki 0763488123 mpunga mbele
Kuna aina ya gari na gari mkuu ndio hufungui cluster haswa gari za europe.

Lakini za asia nyingi lazima ufungie clustet mkuu.

Watumia mashine aina gani
 
Mkuu simple tuuu tega juu ya mawe tair zote then washa kanyagia extractor yako na jiwe dakika 5 tu rudisha mrejesho

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Pga jeck tega lakwanza na mambao la pili latatu na lanne kanyagia

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Mkuu simple tuuu tega juu ya mawe tair zote then washa kanyagia extractor yako na jiwe dakika 5 tu rudisha mrejesho

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
Extractor=accelerator.

Sony Z3
 
Nashukru mkuu skuona spellchecker imejiandka hvo nb_ nashukur

Sent from my HTC One using JamiiForums mobile app
 
Sasa ninyi mnaomshauri akanyagie ecceralatot ndo mnamshauri nini? Mwenzenu anataka aongeze mileage akiwa amekaa tu, yaani hesabu ya mafuta iendelee kusoma kwa Km afu yeye amekaa tu anakula kiulaini, msaidieni huyu dereva ana hali ngumu ya maisha, Magu amebana.

Mi nakushauri mkuu, kama mbinu zote zikishindikana pandisha gari juu then zungusha tyre kwa mkono hadi zifike Mileage unazotaka. Au design mkanda unauunganisha kwa biaskeli na gurudumu then unapiga pedal.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo maujanja nijupiga jack mguu wa nyuma kushoto unautega vizuri kwa usalama alafu unawasha gari unatitupiamo gear no.5 alafu unaagiza balimi zako nne za kusukumia muda wakati km zikizidi kupanda. Atafaye fanikiwa asisite kuja pm nimpe namba zangu kwaajili ya m-pesa return
 
Naona unataka kuwaibia watu sasa ela imekuwa ngumu kuipata.. Inabidi mkulu aliangalie hili la si hivyo itakuwa shida kubaki mjini hadi mwisho wa mwezi huu..
 
Njia rahisi ni kupiga nayo masafa. Kama wewe upo busy sana nipe mi nizunguke dar nzima kwa muda wa siku tatu au kama hautojali niende mpaka mikoani then kms zitakuwa zimepanda kwa kiwango unachotaka

Pole sana mkuu. Magu amebana hadi inabidi tuwe wabunifu. Tafuta tu fundi anayejielewa akufanyie hivyo. Maisha yenyewe ndo haya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…