Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niifungue mkuu.pm umefunga.
Tumia vitamin B Complex, 3×2 kwa siku za awali, baada ya wiki anza kupiga 1×1 kila siku. unaweza ukatumia dawa hii kwa wiki 2 mfululizo au zaidi.
nakuhakikishia; siku ya 3-5 utakuwa umepata nafuu kubwa. ahsante
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.
Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.
Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.
Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.
Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Asante sana Dr PL , sawa nimekuelewa Daktari.Pole sana.
Cha kwanza kabisa ni vyema ukafika kituo cha afya kilichopo karibu yako ili uonane na daktari.
Huenda ukawa ni mzio (contact allergic dermatitis) kulingana na maelezo yako. Ni vyema ukafanya uchunguzi kama ulibadilisha au ulivaa nguo mpya za ndani, kama kuna dawa/mafuta au kemikali yoyote ulitumia kabla ya muwasho kuanza.
Pia inaweza kuwa maambukizi ya maradhi ya ngozi ambayo huambukizwa kwa njia ya kugusana mfano HSV ambayo husababisha vipele na kuwashwa.
Kwa hiyo nenda hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi ili upatiwe matibabu sahihi.
Kila la kheri.
Habarini Madaktari na wafamasia wa humu Jukwaa la Afya.
Nina changamoto moja imejitokeza ni kama miezi 4 au 5 imepita.
Kwanza nilipata muwasho mkali sana huku ukeni, kisha nikaja ona vipele vidogovidogo vimetokeza.
Ule muwasho nikawa naukuna lakini mwisho wa siku palepale nilipojikuna napata maumivu makali sana.
Yaani muwasho nikijikuna napata maumivu.
Nikienda kukojoa sasa hapo ndipo kasheshe maana ule mkojo ukipita pale kwenye muwasho nahisi kama nachanwa na wembe.
Na sasa hv imefikia hatua mpaka kinembe kinawasha sana, yaani najikuna sana.
Nilikuwa mtumiaji mkubwa wa Condoms hizi za ZANA....je, huenda ndio zimesababisha tatizo?
Asante sana Dr PL , sawa nimekuelewa Daktari.
Na nilikuwa huko tangu asubuhi na wameniambia tatizo ni allergy ya bidhaa za mpira za Latex....na wamenipa na dawa.
Huwa natumia sana condom za ZANA, sasa zina ile mafuta yake nadhani ndio iliniletea hali hii ya maambukizi.
Asante sana kwa ushauri wako mpendwa.
Ukiacha kuniuzia mbona naacha haraka tuh.hata kuacha shisha mixer na ugoro unayo vuta ni rahisi tu gentleman![]()
Asante kwa ushauri Dr PLTahadhari:
-pamoja na ushauri unaotolewa hapa kuwa makini sana na epuka kutumia dawa zozote unazoshauriwa hapa. Ni vyema daktari akufanyie uchunguzi ili upatiwe dawa sahihi. Unaweza kuambiwa tumia dawa fulani ambayo pengine si sahihi kwa tatizo lako.
Kila la kheri.
Kwahio sahv chombo ina elekea kuwa man'ganyu 😊Asante kwa ushauri Dr PL
Juzi nilienda hospitali na ikagundulika ni allergy ya bidhaa za mpira za latex, nimeshapatiwa matibabu.
Shukrani sana kwa ushauri na naendelea vyema tu
Nimeambiwa nisifanye ngono atleast mpaka dozi iishe raraa reree 🥹🥹🥹Kwahio sahv chombo ina elekea kuwa man'ganyu 😊
Wiki 3 ebhanaeeee chombo ina rudi upyaaa 👌🔥Nimeambiwa nisifanye ngono atleast mpaka dozi iishe raraa reree 🥹🥹🥹
Dozi ni ya wiki 3....
Nitavumilia tu....
Ataongozana na wangapi? Abebe kijiji?Ongozana na mpenzi wako hospitalini ....unaweza kutibu fungus ikapona kumbe unapoitolea ni kwa mpenzi wako mkijamiana
😂😂Au na ww umo miongoni mwa Wana kijijiAtaongozana na wangapi? Abebe kijiji?
Lazima kupiga pasiHio ni fangasi mkuu tena hio ishafika hatua mbaya sana. Ukiwa unajitibu hakikisha nguo za ndani unazifua kwa uzuri, anika Juani na baada ya hapo piga pasi